japhary ndiye mbunge moshi mjini. Toka saa nne usiku watu wameshangilia milipuko inayosadikika ni mabomu na risasi za mpira washawasha ndio vilitanda anga ya moshi wakati vijana wakishangilia
Baada ya uchaguzi kesho chama kikuucga upinzani kitakuwa ccm.... wewe unataka edward aimarishe ccm ya nn? Zaidi tutaivuruga kwakumpa makofuli wizara maana atlist ana kauwezo....
When will u stop to dream??? u ccmz....
Mimi nilifikiri mmechoshwa pia na mfumo hivyo kutumia muda wa kesho vizuri kumlipia mwanao ada ya shule awali hadi chuo kikuuu....
Ukawa wanalipia live coverage ya matangazo yao kwenye tv zilizojionesha kuwa neutral.....eg itv na azam. Atar tv na tbc ni za chama kimoja.... HEBU THREAD NYINGINE MZITAFAKARI WENYEWE KABLA YA KUTUMA. acha kuogopa mabadiliko.
Labda tumuulize slaa... kufukuzwa upadri, kufukuza mke halali nakuoa kimada, kisha kusaliti mabadiliko... je yote hayo nimabadiliko yakutoka pabaya kwenda kuzuri!!! Au pabaya? Bila shaka hayo ni mabadiliko mabaya. Ikiwa ndivyo, atuthibitishie kuwa hajui anachokiongea na anatumika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.