Ahsante kwa ushauri kiongozi. Nimekuelewa .
Kama upo na nafasi au connection ya watu sahihi wenye kuweza nisaidia naomba nisaidie. Nitashukuru sana
Ahsante sana , nashukuru kwa ushirikiano wako.
Usinielewe vibaya kiongozi. Ni vile nilihitaji walengwa wafikie kirahisi na halaka . Huenda nikafanikiwa.
Na kiukweli Nina shida nayo kwa uhalaka ,kama unaweza niunganisha au unayo . Nisaidie
Nimefanya kadhaa, japo sikupata kile nilichotegemea . Sababu hazikuwa sahihi. Sababu zishafungwa sasa. Baada ya hapo Sina hamu Tena ya kufanya huko. Ila nikipata nzuri na uhakika naweza ifanya.
Habari wana JF.
samahani kwa kuwakimbizeni.
Short storyline.
Nimepambana sana na application's za kupambania nafasi za kazi, ila sijabahatika ziaidi ya mara tatu. Ni mbili tu(Online business).
Sawa tuachene na hizo.
Nipo hapa kijana wenu (23), nahitaji msaada wenu. Mimi ni mhitimu wa chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.