Kweli Dar tunateseka na joto. Ilitakiwa tuweze kutumia acs nyumbani, ofisini nk. Tatizo ni kuwa umeme wetu ni ghali mno na ni wachache wanaweza kuweka nyumba zao full ac. Tulitegemea ujio wa gas upunguze bei ya umeme lakini badala yake umezidi kuwa ghali.
Naomba wahusika wapange route ya Katavi, nina ndugu zangu wanaishi huko lakini sijaweza kuwatembelea kwa sababu safari ya train na basi inachosha sana.
Hao wachina wamelima na kuweka hiyo chemical ndiyo inakuwa sumu. Kama mkulima wetu ametumia hiyo mbegu bila kuweka hiyo chemical hayatakuwa na sumu. Kama wengine walivyosema ni kawaida ukilipasua linakuwa hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.