Recent content by Hhay Fissoo

  1. H

    Je, wajua? - Special Thread

    Wakuu na waimba mapambio mnajua nani hasa aliasisi mchakato huu wa kumkata mfanyakazi 9% ya mshahara wake kama kodi ya PAYE? Angalia na kusikiliza hii video alafu utafakari kimyakimya kama analala nao "mbere" kama unavyoaminishwa
  2. H

    Usafi wa Zitto Kabwe

    Wakuu kuna kashfa inaenda na kujirudia kuwa Bwana Zitto Zuberi Kabwe (Mwanasiasa msafi kuliko wanasiasa wote kuwahi kutokea Tanzania) ni moja ya watu walionufaika na mgao wa fedha za Escrow, japo sijawahi msikia akitamka kwa ulimi wake kuwa hajapokea, ameishia kusema watu wachunguze...
  3. H

    Tanzania House of Talents (THT) imekua THT Media?

    Wadau nimekua nafuatilia ukurasa wa THT kwenye Facebook. Lakini toka juzi naona umeanza kubadilika kutoka kuwa NGO sasa wanajiita THT Media na wanaonekana ni a Media and Productuion House. Wale jamaa vipi tena. Au nalo lilikua jipu? Cheki link THT Media
Back
Top Bottom