Hongera wewe unayeijua mifumo mingi kuliko Trump aliyeaminiwa na Wamarekani wenyewe....Sidhani kama umewahi kufika hata Somalia tu sijui uliijulia Google hiyo mifumo
ukr
Ukraine hajawahi kumiliki nyuklia hata moja, kilichotokea zile ni nyuklia za Russia zilikuwa sikihifadhiwa huki Ulraine ambapo lilikuwa ni jeshi la kijana na huko Urusi ni jeshi jekundu hi yo Ukraine karudisha silaha za watu acha kukariri tu.
punguza ujuaji ina maana wewe unajua kuliko warusi wenyewe? hata somalia hujafika unashadadi ya russia kujifanya unaijua ....wabongi ujuaji mwingi lakini kumbe zero
ndege anayotumia rais putin umeitengeneza wewe?
Ilyushin Il-96 ( Kirusi : Илью́шин Ил-96 ) ni ndege ya Urusi yenye injini nne ya masafa marefu iliyoundwa na Ilyushin katika uliokuwa Umoja wa Kisovieti na kutengenezwa na Shirika la Uzalishaji wa Ndege la Voronezh nchini Urusi . Inaendeshwa na...
yaani mtu upo kibaigwa sidhani hata kama siri za jeshi la tz unazijua au huko mbali hata kikundu cha migambo wa hukijui au hata serikali ya mtaa haikujui leo ndiyo uje utuambie walichofanya Iran wamekosea yaani wewe unaona kuliko Iran? hii nchi tuna vijana wa hovyo ...Iran waliorusha wanajua...
Zelensky kupitia ukurasa wake wa jukwaa la X amesema, meli hiyo ilishambuliwa muda mfupi baada ya kuondoka katika eneo la bahari la Ukraine.
Katika hatua nyingine Urusi imedai kuwa imeikomboa sehemu kubwa ya Mkoa wake wa Kursk. Hayo ni kulingana na Wizara ya Ulinzi ya Urusi. Rais Zelenky wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.