Recent content by Herry_eliufoo

  1. H

    Live TBC1: Mawaziri wanaapishwa

    ndo hao hao anyway, but nam-refer mlugo
  2. H

    Live TBC1: Mawaziri wanaapishwa

    yep mlugo
  3. H

    Live TBC1: Mawaziri wanaapishwa

    bora muhongo, jenista wakati anakula kiapo amepatwa na stuckness, kaanza kusoma kiapo cha pili badala ya kile cha kwanza then cha pili: Yaleyale ya muhongo na tanganyika na zimbabwe kuungana kuform tanzania
  4. H

    Live TBC1: Mawaziri wanaapishwa

    mimi nimeshtushwa na vazi la mwigulu kwani hata kama kweli inaifeel nchi kivile, kuvaa T-shirt na suti kidogo kwa dhima ya kitaifa kama ile hapana : sikuwahi hata siku moja kuona vazi la namna hiyo, na it tells how confident he is but still,ni over confidence katika eneo kama lile kwa wakati ule
  5. H

    CV YA Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu 2014-2015

    SECTION . Measuring academic skills of teachers Research studies have shown positive associations between student achievement and teachers’ academic skills, level of content knowledge, years of experience and participation in content-related professional development opportunities (Ballou, 1996...
  6. H

    CV YA Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu 2014-2015

    usimtukane tusi mtu kwa kumvua nguo mtu mwingine,tunamjadili jenista na matarajio tuliyokuwa nayo kama kweli anaweza kuyafikia matarajio hayo
  7. H

    CV YA Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu 2014-2015

    huo ushauri anaupeleka wapi akishauchukua? :mulugo aliandikiwa hotuba na kuisoma tu akashindwa: zakia meghji akiwa waziri wa fedha alisainishwa vitu ambavyo anaweza kujaza kitabu akivitaja na watu wakanufaika kwa ignorance yake
  8. H

    CV YA Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu 2014-2015

    Bila kuathiri michango ya watu wengine na kwa kuzingatia umuhimu wa sekta ya elimu na watu ambao jenista mhagama ata-intaract nao katika kuchochea mabadiliko fulani anayotamani katika wizara ya elimu. ni ukweli kuwa Jenista alistahili kuwa waziri lakini sio waziri wa wizara ya elimu. Kwa sababu...
  9. H

    CV YA Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu 2014-2015

    so hao uliowataja wana madaraka makubwa kuliko nafasi ya naibu waziri?????
  10. H

    CV YA Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu 2014-2015

    mimi nimpenda hii certigicate alonayo mhagama ya Curriculum Development and Programme Planning ambayo haionyeshi inatolewa na taasisi gani ya elimu
  11. H

    JK awapuuza Kinana na Nape: Mawaziri mizigo wapeta

    hadi 2015 kila mbunge wa ccm ana chance ya kuwa waziri
  12. H

    Yaliyojiri Uchaguzi mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi, Mbowe, Lipumba, Mangula, Slaa washiriki

    Kwa nafasi ya JK kwa sasa,Ilitakiwa amsaidie kumweka mtu ambaye chama kingekuwa kimekwisha kuwatafiti na kuwaona wana uwezo wa kuvivaa viatu hivyo ili kumjenga kisiasa
  13. H

    Yaliyojiri Uchaguzi mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi, Mbowe, Lipumba, Mangula, Slaa washiriki

    namaanisha kama chama 'ccm' hawajaweza kuwa na uwezo wa kusimamia maandalizi ya huyo wanayemtarajia awakilishe chama
  14. H

    Yaliyojiri Uchaguzi mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi, Mbowe, Lipumba, Mangula, Slaa washiriki

    kwamba ukimuuliza Rais Kikwete,who will be the next presidaa,itakuwa ni changamoto kwake . Japo amesema Nyerere alijua the next angekuwa Mwinyi. Na amekiri kuwa brother JK kidogo maamuzi hana.
Back
Top Bottom