Recent content by Herry jr

  1. H

    Nauza treadmill Machine ya kufanya mazoezi ya kutembea na kukimbia kwa bei ya kutupa kabisa 1.2m

    Kwa yule atakaehitaji machine ya Treadmill kwaajili ya kufanya mazoezi ya kukimbia na kutembea anicheki. Tangu ninunue ina miezi miwili2 ya kutumika. Sifa: 1. Inatumia umeme 2. Kg 110 3. Dukani mpya inauzwa 1,650,000 na zaidi Naiuza kwa 1.2m ila maongezi yapo. Sababu za kuuza ni kuwa nimehamia...
  2. H

    Nahitaji Vitz Old Model-Inayotumia mtungi wa gas, namba yoyote ile.

    Habari zenu, nahitaji Vitz Old Model inayotumia mtungi wa gas na mafuta, nipo Dar Es Salaam, mda wowote nakuja kuicheki gari, nipo serious kiasi kwamba hata leo leo tunaweza kumaliza biashara. Gari: Vitz OLD MODEL (Inayotumia Gas na mafuta) Namba ya usajili: Yoyote ile kikubwa engine na gearbox...
  3. H

    Nahitaji IST Old Model budget yangu 8-9.5m

    Hapana, ni miaka 10. Mfano leo hii ili ukate bima kubwa inatakiwa hiyo gari iwe imesajiliwa hapa Tanzania kuanzia September 2015 na kuendelea ila ikifika mwakani hutoweza ikatia tena. Japo kwa magari ambayo usajili wake ni wa zaidi ya miaka 10 kurudi nyuma, ukitaka bima kubwa huwa wanatuma ma...
  4. H

    Nahitaji IST Old Model budget yangu 8-9.5m

    Nimetaja mwaka wa usajili na sio Year of Manufacture, Gari ikiwa imesajiriwa hapa Tanzania ndani ya miaka 10 ilopita unaweza kukatia bima kubwa. Namimi siwezi kumiliki gari ambayo siwezi kuikatia bima kubwa.
  5. H

    Nahitaji IST Old Model budget yangu 8-9.5m

    Namba yangu ya simu ni 0783 242 247
  6. H

    Nahitaji IST Old Model budget yangu 8-9.5m

    Nahitaji IST Old Model namba ya usajili yoyote ile but yenye vigezo vifuatavyo: 1. Body iwe nzuri 2. Mwaka wa usajili kuanzia 2017 kuendelea, ili niweze kulipia bima kubwa. 3. Iwe na AC 4. Engine iwe vizuri 5. Gearbox iwe vizuri 6. Ikiwa na bampa kubwa ni vizuri zaidi japo sio muhimu sana...
  7. H

    KERO Mwezi ujao mwaka unakamilika toka ahadi ya serikali kujenga barabara ya kibada Mwasonga kwa lami

    Ukienda kusikiliza kwa umakini ile siku ya uzinduzi wa jiwe la msingi, waliweka wazi kuwa mkandarasi aliomba aongezewe mda mpaka mwezi May 2026. Na kiuhalisia mpaka sahivi kuna hatua kubwa sana wameifikia japo sizani kama wataweza kumaliza ndani ya huo mda. Kitu kikubwa ni kuwa tayari kuna...
  8. H

    NYUMBA INAUZWA 90M IPO KIGAMBONI MWASONGA ENEO LA KIGOBEDI

    Nyumba inauzwa eneo la Kigobedi, Mwasonga, Kigamboni. Ukubwa wa eneo: 580Sqm 3 rooms zote master Sitting room Dining room Kitchen Store Umeme upo kijiji cha jirani kama 500m Nyumba ni mpya haijawahi kukaliwq na mtu ndani. Document zote zipo. Mawasiliano: 0783242247 Barabara ya...
  9. H

    SAMSUNG GALXY A35 5G BADO MPYAA IPO SOKONI KWA BEI YA KUTUPA

    Samsung Galaxy A35 5G Storage GB 256 Two Sim Cards Imenunuliwa 22/01/2025 Simu bado ni mpya kabisaa Ina Screen protector ya Privacy Bei: 700,000 Maongezi yapo Ipo Dsm kigamboni Simu: 0783242247 Wa kuiwahi maana ni simu nzuri sanaa. Haina dalali, mmiliki ni mimi mwenyewe. Naiuza kwakua nime...
  10. H

    KERO Mwezi ujao mwaka unakamilika toka ahadi ya serikali kujenga barabara ya kibada Mwasonga kwa lami

    Barabara sahivi imefikia 30% na tar 25 April 2025 Raisi mwinyi alizindua jiwe la msingi la barabara ya lami Kibada-Mwasonga-Tundwi-Kimbiji km41 ambayo makadirio yake ni kukamilika 31 December 2025 kama una kiwanja huko usikimbilie kukiuza kwanza au kama huna unaweza kwenda kununua kiwanja huko...
  11. H

    Nahitaji connection ya kupata chumba kwenye nyumba za NHC Dar

    Hi, Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata connection ya nyumba NHC mkoa wa Dsm, nahitaji kupanga katika hizi nyumba mda wowote kuanzia sasa. Naombeni msaada wenu please, naamini wapo wapangaji ambao wana plan ya kutoka katika hizi nyumba kwa sababu mbali mbali. Eneo langu la kazi ni Posta...
  12. H

    Naombeni mawazo na ushauri wenu juu ya huu mchoro wa nyumba kabla sijafanya uamuzi wa kuanza ujenzi

    Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi. Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.
  13. H

    Kiwanja kinauzwa Mbweni-kizuri mnoo

    Size sqmt 877. Bei 100m, aliye serious mazungumzo yapo. Muhusika anasafiri kwenda Marekani mwezi ujao, so anahitaji mteja kabla hajasafiri. Eneo ni Mbweni JKT, ni pazuri mnoo, njoo mwenyewe ujionee. Umeme upo. Mpangilio wa nyumba ni mzuri sana Eneo lina utulivu na upepo mzuri. Lipo 100m kutoka...
  14. H

    Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Na pia Kimara ukiingia ndani kidogo unapata sehem zilizo tulia, nyumba nzuri bei nafuu, hakuna kelele, ni sehen nzuri hata ya ku raise familia. Geografia yake ipo juu ya mwinuko kwahyo upepo wake ni mzuri pia. Ipo karibu na stand kuu ya dsm.
  15. H

    Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Nimeishi kigamboni 3 years, now nipo Kimara. To me sijaona sehemu nzuri ya kuishi kama kimara. Na kweny swala la usafiri kwa ambao hawana private car, mwendokasi ndo the best public transport in Dsm. Why? 1. Haina foleni 2. Risk ya ajali ni ndogo maana ina njia yake peke yake 3. Ina accomodate...
Back
Top Bottom