Machine ya SELCOM kwa ajili kukata.
Luku
King'amuzi
Vocha zote
Tigo pesa, Mpesa, Airtel ..... n.k
Na huduma zingine nyingi.
Machine haina tatizo lolote na ina miezi 3 tu tangu niinunue Ila naiuza kwa kuwa nabadilisha biashara. Line za wakala tayari nimeuza zote.
Napatikana Temeke...
No Sio temeke Nzima na Sio kila mwanamke nikimuona tu namtongoza.
Me huwa najukuta nimemtongoza mwanamke pale napo muona na kuvutiwa nae pia labda kwa kuwa natoka job jioni sana ndo mana hahisi kama sikutani na warembo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachache wanawadanganya then wana Generalize kwa wote. Wengine hatuna hizo mambo, me mwanamke akikubali na tunaendana namchukua(naoa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za majukumu wana JF,
Mimi ni kijana 28 yrs naishi TMK. Natafuta mdada atakae kuwa tayari kunipenda na kutekeleza plan ambazo tutazipanga kama partners.
Sifa;
Umri miaka 18 hadi 26.
Awe Anaishi Dar
Awe mweupe kidogo/ Maji ya kunde.
Christian/ kama ni Islamic awe mpole tu kubadili.
Awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.