Recent content by Herman Mlekwa

  1. H

    PICHA: Mgambo amlazimisha mwenye duka kuzoa taka kwenye mtaro mbele ya mkuu wa mkoa

    siku watakutupa wewe pia kwenye mtaro mmbovu uogelee ndipo utaweza kuyaelewa hayo maneno ya hao unaodhani hawana akili.. nchi inapaswa kuongozwa kwa mkono wa sheria..kama ni adhabu basi na iwe kwa utaratibu wa sheria za nchi na sio ubabe
  2. H

    PICHA: Mgambo amlazimisha mwenye duka kuzoa taka kwenye mtaro mbele ya mkuu wa mkoa

    huyo mgambo vitasa vitamhusu siku moja..! kwa mamlaka ya sheria gani anafanya ubabe wa namna hio? kwanini wasimfungie duka asifanye biashara hata hapo atakapo comply na hili swala? sio sawa wala huu sio utawala wa sheria..! ebo..!
  3. H

    Natamani kuchana vyeti!

    uschane..! wala uskate tamaa, maisha hua yanabadilika muda wowote..,just keep working hard and stay focused ''one bird in hand is better than two birds on a tree'' deal na kile ulichonacho at present endelea pia kjtafuta kazi ya proffesion yako huez jua kipi kitakutoa..
  4. H

    1500 years Old Bible found in Turkey

    biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi walivoandika manabii wa kale kwa uvuvio wa Roho wa Mungu..mfano kuzaliwa kwa YESU KRISTO kulitabiliwa na nabii isaya zaidi ya miaka mia sita kabla ya YESU kuzaliwa..,vile vile hata mateso ,kufa na kufufuka vyote vilikuepo tayari vitabuni kabla hata ya yeye...
Back
Top Bottom