Waandishi wa habari wengi Tanzania tunashindwa kupata ile ABC ya kutumia elimu kwasababu tunakosa msaada wa serikali katika tasnia hii. Mimi naamini ili mwandishi wa habari awe kamili na mtu anayefanya kazi katika hali ya kiwango lazima awe na vitendea kazi vitakavyo mwezesha yeye aweze kufanya...
Vitu vya kuzingatia kama mwanaume.
1)Tujiimalishe na tujue majukumu yetu kama Kinababa
2)Tusipoteze uanaume katika jamii pale jamii itakapohitaji wanaume basi tujitokeze kujenge nchi yetu
3)Wanaume ni moja ya watu wanaopambania haki za wanawake na watoto pia tuwajibike katika hilo...
Tanzania Tuitakayo: Ajira na Tenda kwa Miaka 25 Ijayo
Utangulizi
Katika kijiji kidogo cha Mkwajuni, kulikuwa na kijana mwenye ndoto kubwa, Juma. Alikuwa na elimu ya chuo kikuu lakini alipambana kupata ajira katika soko la ajira ambalo lilikuwa na ushindani mkubwa. Hali hii ilimfanya Juma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.