Recent content by herman kwayu

  1. H

    JamiiForums Tanzania Foleni njia ya Goba kupita Makongo

    Njia kuelekea goba kupitia Milimani then Makong imekuwa ba foleni mbaya sana, inatuumiza sana sisi wa goba haa ukizingatia njii hii inasav wakazi wa makongo, goba, madale, kimara, mbezi na sehemu zingine. Unaweza kaa kw foleni for 3hours sehemu ya dk25 na mamlaka zipo tuu. Ukifiatilia ni uzembe...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Uvunjifu wa sheria za barabara njia ya Mlimani City->Makongo->Goba

    Kwa watumiaji wa barabara ya Mlimani City -> Makongo-> Goba na Mbezi shule->Goba. Tunaona ukiukwaji kubwa wa sheria za barabarani wakati wote kitu kinachosabisha adha kubwa kwa watumiaji wanafuata sheria za barabarani. Mfano nyakati za asubuhi au jioni barabara ya Mlimani City to Goba...
  3. H

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuboresha huduma za afya katika hospitali za serikali

    Simulizi: Siku moja, nilipokea simu kutoka kwa kaka yangu na sauti iliyosikika ilikuwa ya wasiwasi kabla ya simu kukatika ghafla. Nilijaribu kupiga simu mara kadhaa, lakini hakuna aliyepokea. Baadaye, muuguzi kutoka hospitali moja ya serikali huko Sinza alipokea simu. Nilikwenda haraka na...
Back
Top Bottom