Naomba mnisaidie wana JF kuna dogo langu linariseat form-6
Je, wanawekewa alama kama wanazopata au hatakama amepata 'A' unawekewa principal pass tu yaan 'C' kama wanazopata ilivyo kwa mfumo wa chuo??????
Mwogope Mungu kumbuka Mtumishi wa Mungu no wa Mungu tu hutakiwi kumdhihaki yoyote yule...!!!!!!! Usicomment I'll kufurahisha haina maaanaa tunataka vitu vya msingi NA siyo utumbo kama huo jaribu kustaaarabika usiropoke I'll tukusifie tuko serious hatutaki kukenua meno Hapa kazi 2..!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.