Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:
1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia...
Unajua fika We ulikuwa miongoni mwa watu wanaotuma vijana na kuwadharay askari kwamba hawa wanatii maamui ya Chama Polepole una uhalali gani wa Kusema unapigania watu!
Unakumbuka Mpango wako mkiipeleka Meli Mv Victoria Kagera Mwaka jana wakati wa Kampeni ukiwa na akina Petro Magoti, acheni...
Tukiwa hapa Ngerengere kwenye mkutano wa kampeni za CCM
Askof Dr George Pindua wa Kanisa la KKKT ndio aliefanya maombi ya kufungua mkutano.
Na ndiye Askofu aliyealikwa
Lakini kuna Askofu aliyemaliza Muda wake Askofu Mameo nae ameonekana kwenye mkutano na akataka atambuliwe kama askofu wa jimbo...
TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA
"....kuwa sehemu ya kihistoria..., umeona mengi ila hii Haijapata Kutokea. Twendeni tukawashangaze..."
Ni Alhamis 28 Aug 2025
Tanganyika Parkers - Kawe
#Tukawashangaze
#Haijapatakutokea
Ifikapo 2034 80% ya watanzania watakua wanatumia nidhati safi ya kupikia .asema Raisi wajamhuli ya muungano wa Tanzani Dr Samia suluhu hassan.
#Tunmjua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.