Recent content by Henry Kilewo

  1. Henry Kilewo

    Rais Samia; Bila usawa wa Kisiasa na Demokrasia ya kweli hutapata Wafanyabiashara na wawekezaji serious

    Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan; Bila kuwa na Usawa wa kisiasa na Demokrasia ya kweli kwenye Taifa letu,Juhudi unazozifanya kwasasa za kurejesha Diplomasia na Confidence ya Wafanyabiashara na wawekezaji itakuwa ni kazi bure kabisa. Hakuna Mfanyabiashara/muwekezaji anayeweza kuweka mtaji wake...
  2. Henry Kilewo

    Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Bashiru Ally atapeliwa Kawe. Aletewa Katibu feki wa CHADEMA, wajanja wapiga hela

    Ndugu zangu habari za jioni. Nimeona kwenye mitandao ya kijamii Mtu anayeitwa Andrew Saimon akiwa kwenye kikao cha Ndugu Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM akijitangaza na kujipa Cheo cha Ukatibu wa Chadema jimbo la Kawe. Naomba niseme, Kwenye ofisi za Chama Mkoa wa Kinondoni ambapo Jimbo la Kawe...
  3. Henry Kilewo

    Askari Polisi anashililiwa kwa tuhuma za mauaji ya kijana Waziri Dhamiri

    Napongeza jeshi la polisi Wilayani Mwanga kwa hatua hii ya awali ya Kumshikilia Askari police wa jeshi hilo anayesemekana kusababisha Kifo cha Kijana Waziri Dhahiri kwenye Kituo cha police kilichopo Kisangara kata ya Lembeni kilichotokea Tarehe 20/04/2019. Naendelea kutoa wito kwa wadau wote wa...
  4. Henry Kilewo

    Serikali Kujiingiza kwenye Vicoba ni Kuua Uchumi wa Wananchi wa Hali ya Chini

    Rudia Mpaka mwisho.... Haya ni Maoni yangu ama Mchango wangu kuhusu sakata hill...badala ya kujikita kwenye sheria tunapaswa kurudi kwenye Chanzo cha kuanzishwa vikoba na moja ya Chanzo ni Masharti ya Mabank ambayo hayatekelezeki kwa Mwananchi was Kawaida. Badala ya kwenda mutunga sheria...
  5. Henry Kilewo

    Serikali Kujiingiza kwenye Vicoba ni Kuua Uchumi wa Wananchi wa Hali ya Chini

    Serikali kuja kwenye Vicoba inakuja kuwafanya Wananchi kupatashida...Wananchi wanakimbilia kwenye vicoba kwakuwa ni sehemu rafiki. Mabank yetu siyo rafiki kabisa kwenye maswala ya ukopeshaji hususani kwa Wananchi wa Chini ambao kwenda Bank ni kero. Bank kuna masharti yasiyotekelezeka kwa...
  6. Henry Kilewo

    Makontena ya RC Paul Makonda yapigwa mnada Bandarini

    Ulikuwa unasemaje huwo uzi? Hizi siyo nyakati za kukaa kimya tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Henry Kilewo

    Maneno ya Magufuli hayatoshi, Makonda ashughulikiwe

    *Maneno ya Magufuli hayatoshi: Makonda ashughulikiwe.* *Taarifa Kwa Umma* Maneno ya Mhe Rais, John Pombe Magufuli, aliyoyatoa jana dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar kuhusiana na sakata la Makontena, yamethibitisha angalau mambo manne muhimu: 1. Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda, amepoteza sifa...
  8. Henry Kilewo

    Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

    Kama ilivyokuwa kwa kuota ndoto... Soma kwa makini kisha shirikisha ubongo wako Vizuri uone Tamko lina mashiko ama halina na siyo kuokoteza maneno ya vibanda umiza na kuleta Humu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Henry Kilewo

    Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

    MAKONDA AKAMATWE Taarifa Kwa Umma Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda ya kusema "atakaye nunua makontena yaliyopo Bandarini atalaanika pamoja na kizazi chake"; Ni kauli ya vitisho yenye nia ya kuzuia Serikali isipate na isikusanye mapato kutoka kwenye makontena hayo...
  10. Henry Kilewo

    Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

    *MAKONDA AKAMATWE* *Taarifa Kwa Umma* Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda ya kusema "atakaye nunua makontena yaliyopo Bandarini atalaanika pamoja na kizazi chake"; Ni kauli ya vitisho yenye nia ya kuzuia Serikali isipate na isikusanye mapato kutoka kwenye makontena hayo...
  11. Henry Kilewo

    Similarities between CCM vs Zanu-PF and Magufuli vs Mugabe

    Kilichomuondoa Mugabe Madarakani ama Kinachowaondoa Marais wengi Madarakani Ambao ni Wakatili au kwa Lugha nyepesi Madikteta ni Kitu kinaitwa Deep State.... Madikteta wote ulimwenguni wanakuwa na kikundi hiki amabcho ni kikundi kitiifu kwenye Tawala za Kidikteta. Kikundi hicho Huishi kwakutii...
  12. Henry Kilewo

    Lipumba: Kuna matukio yanapangwa nje ya chama cha CUF ili kifutwe kwa vurugu

    Ukiwa Mwanasiasa halafu ukawa na akili kama za Bwana yule,Basi utakuwa umelaaniwa sana...
  13. Henry Kilewo

    Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    Kama Wanataka kuifungia JF waende kuifungia pia FB,IG na Twetter.... Pole Max hayo ndiyo mapambano ya kutafuta Uhuru na Demokrasia ya Kweli...Usiogope watakushikilia kwa muda ila kamwe hawawezi kuua mawazo yako...
  14. Henry Kilewo

    Lema ni shujaa wa siasa Tanzania asiyepigia Goti Watawala

    Kwako Comrade G.Lema; Najua mapito unayopitia kwasasa, ni mapito makubwa sana yenye historia kubwa inayochochea hasira na kuamsha hisia Kali. Nataka ujue na dunia ijue upo Mahabusu siyo kwasababu ya kubaka ama kuzini, upo kwasababu umekataa uonevu,umekataa kuishi ukiwa umepiga goti umekataa...
  15. Henry Kilewo

    Tuhuma za Rushwa: Jeshi la Polisi kumchunguza Kamanda Sirro na Kaganda

    Mimi nilidhani Kamanda huyo angesema wanaanza na aliyetoa taarifa kwanini hawataji hawo watu waliyokwenda kumshawishi, ilikuwaje mpaka wakahisi anashawishika.... Ni kweli hakushawishika na dau au dau lilikuwa dogo au wamegeuka, Jeshi hilo lisiishie kwa hawo makamanda wa polisi, limchunguze na...
Back
Top Bottom