Recent content by Henri Fayol

  1. Henri Fayol

    Msaada jinsi ya kuomba Mzumbe kwa awamu ya pili

    ingia www.mzumbe.ac.tz utakuta maelekezo hauhitaji kuomba upya wala kulipia
  2. Henri Fayol

    Mzumbe, kuna tatizo gani katika system yenu ya udahili?

    Call 0785 16 40 74 au 0767 08 64 69
  3. Henri Fayol

    Seeking for a job

    Kwa shahada yako tafuta NGOs nenda kajitolee kwanza. Siku hizi kama hauna kazi kupata kazi ni balaa. Peleka CV yako taasisi kadhaa ukatoe huduma. Ila kabla haujapeleka tafuta mtu aipitie kidogo kuna mambo nahisi yatakuangusha kwenye uandishi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Henri Fayol

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Hivi Law School ni UDSM eh? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Henri Fayol

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Lengo sio umesoma miaka mingapi ila umesoma nini. Kama minimum requirements from TCU ni mwanafunzi amalize masomo (units) 30 (kwa mfano tu) na chuo kikathibitisha kinaweza kuzi fundisha within 3 years hakuna shida. Wakati wengine wanasoma masaa 20 kwa wiki wengine wakisoma 25 shida hakuna. Japo...
  6. Henri Fayol

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Wasiliana na chuo husika. Systems are managed by human beings. Wapigie Simu waelezee tatizo. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Henri Fayol

    Vigezo vya waombaji mikopo Bodi ya Mikopo

    Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Henri Fayol

    Pongezi; Mzumbe University Ranks No. 2 After UDSM

    Nawapongeza sana Die hard fans wa 'vyuo vyenu'. Ukweli ni kwamba hizi rankings zinatumia vigezo mbali mbali hivyo usishangae kuwa hawa wanasema wewe wa 5, wengine wanasema wewe wa 30. Ki ukweli ni faraja sana kuona chuo ulichosoma, unachosoma au unachokipenda kimeshika nafasi za juu. Wakati...
Back
Top Bottom