Recent content by Hemed Mzee Hemed

  1. H

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu ndani ya Chama

    Mimi nakuona mwehu wewe.. Ulichokifanya ni sawa na kujitosa kuoga mtoni, ghafla unaona kichaa anakimbia na nguo zako nawe ukaingia huko huko.. Kila mtu lazima akuone mwehu mara mbili zaidi.
  2. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Rungwe kwawaka moto, wagombea waanza jaramba

    Wanaoongezeka ni: 1. Oscar Mwambene; 2. Mwamboneke 3. Kibanda na 4. Diwani wa Kiwira.
  3. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Rungwe kwawaka moto, wagombea waanza jaramba

    Watia nia watatu utawapata hapa: Mbunge wa jimbo la Rungwe Magharibi, Prof. David Supervisor
  4. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Rungwe kwawaka moto, wagombea waanza jaramba

    Ndiyo.. Kuthubutu ni hatua kubwa.. Kama ana sifa anaweza kushinda.
  5. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Rungwe kwawaka moto, wagombea waanza jaramba

    Kumbukumbu ninazoziona hapa katika kura za maoni CCM ilikuwa na Magoba, Kasesela, na Mwakyusa na CHADEMA ilikuwa na mmoja tu YUSUPH Suleiman
  6. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Rungwe kwawaka moto, wagombea waanza jaramba

    Frank Magoba na Richard Kasesela je?
  7. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Rungwe kwawaka moto, wagombea waanza jaramba

    Ushindani huu utajenga nchi yetu.
  8. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Rungwe kwawaka moto, wagombea waanza jaramba

    Ukiwa na namba yake ya simu Mpongeze.
  9. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Rungwe kwawaka moto, wagombea waanza jaramba

    Nimechukua taarifa kama ilivyo kwenye gazeti la raia mwema.. Simjui Mwaipasi. Wasiliana na Mwandishi wa habari hii RAIA MWEMA - Felix Mwakyembe 0713-290487 atujuze jina la kwanza la huyu mgombea.
  10. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Rungwe kwawaka moto, wagombea waanza jaramba

    Jimbo la Rungwe magharibi ambalo kwa sasa Mbunge wake ni Profesa David Mwakyusa, litakuwa na moto mkali wa kisiasa mwaka huu. Mpaka sasa wanachama 18 wa CHADEMA wameonyesha nia ya kuwania ubunge katika jimbo la Rungwe Magharibi, mkoani Mbeya. Wengi zaidi wanatarajiwa kujitokeza. Waliojitokeza...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Samuel Sitta

    Ni msimamo mzuri!
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa kuona chama chetu kikiendelea kutawala: Kwa heri CCM

    Hivi una habari?.. Unajua kuwa karibu wajumbe wote wa makundi 15 yaliyowakilishwa pale Dodoma ni wana CCM? Hivi makonda ni mwakilishi wa vijana au CCM?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa kuona chama chetu kikiendelea kutawala: Kwa heri CCM

    Nguzo yetu ni Polisi.. Iwapo JK atakaza uzi kuzuia mikutano na maandamano ya wapinzani tunaweza kufika salama kwenye uchaguzi mkuu ujao.. Tusipowatumia polisi wapinzani watajijenga tu!. Mpango wa kuingiza kwenye katiba ya sasa mambo mapya ya tume huru kutatumaliza.. Hatutabebwa tena. Makundi...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa kuona chama chetu kikiendelea kutawala: Kwa heri CCM

    Ndiyo!.. Alikuwa safarini, karudi na kufikia kwenye mikutano; angesoma saa ngapi? Amekiri kuambiwa na wasaidizi wake na kupitia hotuba ya chenge na wawakilishi wa makundi mbali mbali (kama ni wawakilishi wa kweli) kwamba katiba ni nzuri saana.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa kuona chama chetu kikiendelea kutawala: Kwa heri CCM

    Huu ni mmoja wa msiba tulio nao ndani ya chama. Hata SMZ ina watu wengi mno wanaojua hilo na kulipinga. Tuna wakati mgumu sana Zanzibar. Mpasuko mkubwa upo!
Back
Top Bottom