Recent content by helu

  1. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Haji Omar Kheir - Mshauri wa Rais Ikulu, ana uhusika na mauaji Uchaguzi 2025?

    Hizi habari zipo katika public domain, unless upoint out unahitaji uthibitisho wa kipi. Mimi naongelea mtu niliyekuwa nae. Yeye amashapata taarifa ya makala hii. Nataka yeye au watu wake waje wakanushe chochote kati ya hivi.
  2. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Haji Omar Kheir - Mshauri wa Rais Ikulu, ana uhusika na mauaji Uchaguzi 2025?

    Kaishia kidato cha tatu, Zanzibar miaka hiyo compulsary Education ilikuwa ni kidato cha tatu, eguivalent to Mainland darasa la saba.
  3. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Haji Omar Kheir - Mshauri wa Rais Ikulu, ana uhusika na mauaji Uchaguzi 2025?

    Haji Omar Kheir Kwa vile hakukuwa na utunzaji wa kumbukumbu zozote miaka hiyo, Inakisiwa kuwa Haji Omar Kheir alizaliwa kisiwa cha Tumbatu mwaka 1960. Allzaliwa katika umasikini uliopindukia hata katika standard za kisiwa hicho alichozaliwa. Alimaliza masomo yake ya kidato cha tatu mwaka...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Madaktari Watarajali (Interns) kuhusu kufeli mitihani ya MCT

    Malalamiko ya Madaktari Watarajali (Interns) kuhusu kufeli mitihani ya Mct: Kama Mdau wa Afya, nimeisoma barua ya wazi ya madaktari tarajali (interns) ya tarehe 21 July. Nimesikializa press ya madaktari hao ya tarehe 04 August. Lakini pia nimeona taarifa kwa umma ya Wizara ya Afya ya tarehe...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Majibu yaliyotolewa leo na CHADEMA, ni ushahidi tosha kuwa hela zimepigwa

    Billicanas imeendeshwa na familia ya Mbowe kabla hata CCM haijazaliwa.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ansbert Ngurumo: Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua uanachama wa CCM

    Kinana, Makamba wajivua uanachama CCM Ansbert Ngurumo8th February 20200 Comments MAKATIBU wakuu wastaafu wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua uanachama wa chama hicho. Habari zilizoifikia SAUTI KUBWA zinasema Kinana na Makamba walijiondoa rasmi...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Sherehe za kuapishwa Rais wa Afrika Kusini mheshimiwa Ramaphosa

    Naomba link pls.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Sherehe za kuapishwa Rais wa Afrika Kusini mheshimiwa Ramaphosa

    Kwanini channel 10 hawakuonesha live wakati yanatolewa matokeo ambayo yalikuwa transparent, kwenye giant screens all over the country ili watu wajifunze fair elections. Hakukuwa na malalamiko yoyote. Au wanamuonyesha mtu fulani.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Pamoja na "Mafuriko" mikutanoni upinzani Afrika Kusini washindwa vibaya kama Tanzania

    You are not well informed, mleta mada.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Passport ya kielektroniki ya Tanzania yashinda tuzo ya ubora na usalama duniani 2019

    Umewahi kuziona passport za nchi za EU? Pia naomba link!
  11. H

    JamiiForums Tanzania Hollywood actor Will Smith visited Tanzania

    Ni zamani sana, kabla 2010, kabla hata Shein hajawa rais.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Polisi yataka Netanyahu ashitakiwe kwa madai ya ufisadi

    Polisi yataka Netanyahu ashitakiwe kwa madai ya ufisadi Polisi wa Israel wamesema wamapata ushahidi wa kutosha wa mashitaka ya rushwa na udanganyifu wa fedha kufunguliwa dhidi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mke wake. Inadaiwa kwamba Netanyahu na kampuni ya Bezeq telecom...
  13. H

    JamiiForums Tanzania BBC: Magufuli prefers Chinese to Western

    Tanzania 'prefers Chinese aid to West's'
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini katiba bora ni muhimu na inaifanya taifa kuwa na maendeleo

    fikra zimeenda shule.
Back
Top Bottom