Aiseeee
Mleta mada naona Ana point NZURI Sana na watu mmemuelewa Ila watu mnajitoa ufahamu.
Hakuna mtu asiyependa Dini kusali na Kama wapo Basi wanamatatizo makubwa Sana.
Point ni kwamba waende sehemu maarumu au bus kabla ya safari waingie waombe waondoke.Jamani sio Siri utakuta mwingine lengo...
WaTz mnaweza kupotosha Walau.Ni hivi ulitaka kujua ukweli fatilia story za wakwe wengine wa Said.Jamaa.alikuwa Controller abusive na Ile kwa kizungu wanaitaje mtu anakufatilia anajifanya kuwa mental na wewe (we mzungu sema)kwa hiyo alikuwa na tabia za ubabe uliopitiliza.Yaan kisa mke hataki hata...
Unaongeaga kabla ya ndoa walikuwa pamoja kwanza Ila ninachojiuliza Kama Ni kweli Kuna mazingira ya nyumbani kwa akina Swalher yalivyo na dada alikuwa anahongwa mbona vitu wiwili tofauti
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nawashukuru wote mlioshauri na Kila kitu.
Ila nimejifunza nilipokosea wapi na nilipopatia wapi Ila nasisitiza wkt nagawa Ile nguo nilimwambia na masharti yake na nikitambua ni mtoto wa ndani ya nyumba Ila Kama wengine walivyosema eti huenda anaipenda Sana na huenda pengine hajui japo...
Nailed.
But my friend labda kilichosumbua kwangu ni vile wkt Nampa nilimpa na kasharti kidogo.But all in all nimeelewa.Na Mimi kweli niliumua maana ni nguo ya bei
Swala halipo hivyo.Wala issue sio kubwa.Unajua Mambo madogo madogo kwenye nyumba NDO huleta sintofahamu tusipuuzie.Hapa Mimi nilichoona ni wengi kutoelewa Shana nzima ilivyo.Mimi nilipompa nilimwambia hii ya kutokea na hizi zingine thou nazo NZURI tu za ile unafanya shughuli kumbuka ni Kama...
Hakuna kuachwa kwa mwanamke makini hizo family matters ni za kawaida.Ila nawakumbusha ndani ya nyumba KUNA kuelekezana na mama NDO kiongozi NDO Mana Mimi Mista wangu kaniachia majukumu yote mpaka ya kuchukua Kodi za nyumba tulizopangisha.
Maamuzi mengine Kama biashara ni yeye lkn lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.