Kuna usemi usemao mafahari wawili hawaishi zizi moja. Point Yangu ni Kuwa kazi zinatupa viburi c kwamba zama walikuwa hawagombani ila walikuwa na uvumilivu kwa sababu mtafutaji ni mmoja mama anaangalia familia lakini kwa sasa mke na mume wote wanarudi nyumbani jioni kila mmoja amesha ona nje...
Kaka mwanamke hata umzidi umri anabaki Kuwa MDOGO tu pia umri is just a number witu wanatafuta penzi LA kweli na sio nani nimemzidi au nani tunalingana utachemka kama umempenda fwata taratibu awe wako daima tena ushahuri mwingi utakupoteza Kuwa makini.
Pole San kwa kuhisi unawazazi wakinga, ningependa kukurekebisha usemi wako wa kwamba wazazi wako ni wajinga hakuna Mzazi mjinga duniani labda mapungufu madogo madogo ya kibinadamu inawezekana wewe ndio ukawa mjinga maana upo peke yako unayeona hivyo SWAPO wawili tena waombe msamaha kwa kuwaita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.