Hii yz smile ya 4g mi nilifanikiwa kubadilisha na kuweka line ya tigo na inadunda vizuri tu so far. Ni ya 4G lakini. Haipati moto naiwachaga inapiga 24 hours and more. Nafikiri in my opinion if you ask me mkwa sasa kwetu hapa Tanzania 4G ni reliable in almost every place. Hii mambo ya kikimbilia...
Hii itakulazimu ununue line tatu zote ziwe registered for unlimited data service. Wasiwasi wangu ni kwamba, hili linawezekana? Maana wanasema ili wakuunganishie line inabidi uende na router yako waiconnect kwa kutumia IMEI number ya router yako na simCard. Sijui limekaaje hili kitaalamu...
Ndio niko kwenye window-shopping ya kufanya manunuzi ya hii bidhaa. Huyu mwamba amenisaidia kuwapangua Tigo. Ilikuwa nimeiweka top kwenye priority list zangu ikifuatiwa na Voda kisha Airtel. Kwa style hii ya huu uzi na madini aliyoshusha mwamba hapa nimebakiza Airtel kama ya kwanza kisha Voda ya...
Mkuu,
Kwa uzoefu wako kwenye hizi router za 5g kwa haya makampuni ya simu yote, kampuni gani inayotoa best 5g router in terms of quality of brand and service. Najua hili liko technical zaidi especially kwenye hardware part. It's something am eager to know before I make purchase decision.
Binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.