Recent content by Heed

  1. H

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mbeya, nahitaji kiwanja kwa bajeti ya 2m to 3m

    Ok, niandae kiasi gani ili niweze kupata maeneo hayo
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mbeya, nahitaji kiwanja kwa bajeti ya 2m to 3m

    Bado mkuu hii ni picha ya mshkaji kanitumia tu hii nime apload kuweka msisitizo tu.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Wakuu! Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati, ile juu ya bati juu ya nyumba

    Hizi Fungasemi mnatuchanganya.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mbeya, nahitaji kiwanja kwa bajeti ya 2m to 3m

    Wakuu poleni na majukumu. Moja kwa Moja kwenye mada, nahitaji msaada wenu, Mimi ni mhitimu wa chuo Cha MUST mbeya nlieamua kujitafuta hapa hapa mbeya. Baada ya kujitafuta kwa miezi kadhaa kitu Cha kwanza ikawa ni kutafuta eneo kwa ajili ya makazi. Kwa bajeti ya Milion2 hadi 3 naweza pata...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Okejepha sio mchezaji wa kukaa benchi alafu ngoma akaanza

    Ila simba
  6. H

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

    Kibu Leo tutegemee jambo
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kujumlisha magoli ni ushamba au wanamkoga Magoma?

    Ndiondio mkuu uko sahihi. Hao hao wasio na akili wamewagonga Mimba.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Bingwa ngao ya Jamii 2024 ni Simba au Azam

    Kama na hiki kikombe wamekikosa baaasi.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kwa msimu huu haya ndio Mafanikio ya Simba sc (MAKOLO) mpaka sasa

    Simba inacheza mpira wa Kiwango cha juu mnoo, imeimarika sana kuanzia safu ya YERIKO Che Malone. Viungo punda na wenye unyumbulifu yakinifu hasa wakiwa wanakushambuli, safu ya umaliziaji hapa ukizubaa wanakukanda KIBUl Dennis.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

    Kobul ni msanii kama wallivo wasanii wengine.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

    Kibu denis Tupe Takwimu Zake mkuu.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Haez tokea kamwe
Back
Top Bottom