Kama ni kweli Dada kwanza nikupongeze na pili nakutaka radhi lakini mwisho naomba utumie jukwaa lako kuwaelimisha hao madada wenzako kuwa kama wewe
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Jamani Leo nimeamua kuwapa utofauti nilioigundua baina ya mabinti wa kiafrika hususani Tanzania na wenzetu ngozi nyeupe.
Baada kiwa nje ya nchi kwa takribani miaka saba kimasomo nilikuwa licha ya kudate na mabinti wazuri tofauti tofauti wa mbele nilikuwa nimeshasahau masuala yanayoitwa vizinga...
Ndugu zangu wana jamii forum nimepata habari kuwa serikali imebuni mradi wa kilimo cha korosho Dodoma ambapo wananchi watauziwa maeneo kwa tsh 100000 kwa eka katika eneo la mradi wa majaribio ili waweze kulima korosho huzo ambazo ni mbegu mpya. Naombeni ukweli juu ya jambo hili jamani .
Siku chache zilizopita kumekuwa na habari inayovuma sana mtandaoni kuhusu meya wa manispaa ya iringa ndugu Alex kimbe kupigiwa simu na ndugu Michael Mlowe kumshawishi ahame kutoka CHADEMA kwenda CCM jambo hili ni jambo la kutilia maanani sana maana licha ya kulitia doa taifa pia linaweza...
Kwa kawaida hakuna Mtu ambaye hapendi kuishi maisha marefu lakini tu watu hawajui ni namna gani ya kufanya ili wayaishi hayo maisha marefu mpaka waseme ahsante MUNGU sasa waweza kutimiza mapenzi yako.
Katika kitabu cha zaburi kwa wale wakristo kimeandika miaka ya MTU ni miaka 70 na kama unanguvu...
Safi sana kaka Mimi sio muumini wa MTU Mimi ni muumini wa ukweli. Kama hawataki wachane hivyo vipande alivyowaonesha nabii Tito ibakii sehemu wanayoitaka wao. OK hapo ni kanisa la walevi south Africa ahsante kwa reference nzuri hao majuha waone sio kutokwa na povu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.