Ndivyo alivyo...Kuna watoto wana akili Kuna ambao hawana. Kuna watakaopata division 1 Kuna ambao watapata division 4 au 0. Ndivyo dunia ilivyo. Ndo asili/nature hiyo.
Baada ya kusema hayo mtoto wako yuko kwenye kundi la wasio kuwa na akili. Yaani kilaza. Ishi nae hivyo mtafutie fani...
Wachache wameelewa ulichokiuliza, wengine wanahisi umechanganyikiwa ila ndo hivyo tulivyo binadamu tuna matabaka na tunatofautiana IQ ila kwa kiumbe yeyote Mwenye utashi na IQ kubwa haya ni maswali very VALID.
On my opinion,
1. This project ( Life on earth) is a failed project / an anomaly. It...
Basi hapo ndugu yangu itakuwa na kijumba au viwil na kausafir Kako unajiona umejipaaataaa mpaka unaanza kumkufuru Mwenyez Mungu.
Haya bana.
Na baada ya mm kuandika haya nasubiria kejel na matus...
Kila la heri
Binadamu wema wenye roho nzur na wasio wanafiki walionyooka wapo ila ni wachache sana narudia tena ni wachache sana wenye karama hiyo.
Ila key word 'wapo' na tunaishi nao dunia hii
Unaogopa nini kumuomba mpenz wako akupeleke kwake au anapoishi?
Shida nini, haujiamini au.
Unadate vp au unakuwa vp na mahusiano serious na mtu na hamjuani mnapokaa?
Enzi hizo uwanja wa ndege unajengwa. Temeke ilikuwa ndo sehem ya high income na ikiwa karibu na bandari pamoja na city centre. Kipind hicho maeneo mengi ya kinondoni, mbezi beach, tegeta, kimara, goba yalikuwa mapori pori yasikuwa na watu wala hamna aliyejuwa yatakuja kuwa na potential...
Ukichukua into consideration ya mipaka ya wakoloni, M23 Banyamulenge ni wacongo wanafall kwenye mipaka ya DRC. Kwa mantiki hiyo huo mgogoro ni purely wa DRC mataifa mwngine yote yakae pembeni umalizwe na wenyewe kwa wenyewe au waombe masaada AU, SADC, UN kama walivyokuwa wakifanya awali. Sion...
Kila nchi inabid ikae pembeni. Huu mgogoro ni wa Congo wenyewe kwa wenyewe. Ndo maana M23 wanaitwa rebels. M23 ni raia wa Congo DRC wanaoipinga serikali ya Tshekedi yenye makao makuu yake mgharibi ya nchi Kinshasa, sasa mnataka Tanzania au Rwanda waingilie huo mgogoro kwa manufaa ya nani??? M23...
Hakuna vita Goma wala Mashariki ya DRC. Ilikuwa ni march au parade ya wanajeshi wa M23 kuingia mji wa Goma huku wakishangiliwa na wakazi wa Goma. Fuatilia haya mambo vizuri na uache kukulupuka maana huelewi chochote kuhusu chimbuko la mgogoro wa mashariki ya DRC. Hakuna namna TZ inaweza kufanya...
Ni kwamba huna nguvu za kiume au tatizo nini.
Unashindwa nn kumove on na kuanzisha maisha na mahusiano mapya?
Mara nying ukiona mwanamke ana behave hivi au ana hisi anakumudu sana kunakuwa au kulikua na changamoto kitandani baina yenu.
Otherwise it doesn't make any sense
Key word 'Hakijawahi kuwepo'
Walio wengi wanaufahamu ukweli ila ni wachache wenye guts za kuukili ukweli.
Kila zama na kila jamii toka zama za kale zilikuwa na dini yake, baadhi ni maarufu baadhi si maarufu ila kila jamii ina dini na historia yake. Kwa mfano,
Wagiriki walikuwa na miungu yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.