Recent content by Hector Cooper

  1. Hector Cooper

    JamiiForums Tanzania Picha: Siku Magufuli alivyozindua kiwanda cha Rostam Morogoro

    Inasikitisha sana
  2. Hector Cooper

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Polepole vyaanza kudoda

    Jibuni hoja za Polepole acheni kurukaruka
  3. Hector Cooper

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Bahari Beach Simba road

    Mtafute yule dogo wa Angela fasta tu anabeba mzigo huo
  4. Hector Cooper

    JamiiForums Tanzania Ni Mwenyekiti gani wa CCM "B" aliyetajwa na Polepole?

    Dah
  5. Hector Cooper

    JamiiForums Tanzania Sikuona sababu ya kumtenga mke mkubwa wa Ndugai msibani

    Wanawake Wana roho mbaya sana nduguyangu
  6. Hector Cooper

    JamiiForums Tanzania FaizaFoxy, Raraa Reree, Depal na Nyani Ngabu ni watu ninaowakubali hapa JF

    FaizaFoxy bimkubwa unaitwa huku
  7. Hector Cooper

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ulianza kutokuwa na imani na Mbowe

    Mwamba hiyo namba 8 hapo alizengua sana angeacha tu miaka 20 ilikuwa inatosha kabisa na imekuwa chanzo cha haya yote.
  8. Hector Cooper

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Buchosa, Shigongo akalia kuti kavu

    Umekua mganga wa kienyeji unapiga ramli za kuwasemea watu
  9. Hector Cooper

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TK Movement Kagera Yapinga Vikali Upotoshaji Kuhusu Ushiriki wa Wananchi Katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Kwani ni lazima kupiga kura? kura yenyewe unapiga halafu anakuja mpuuzi anahamisha kura yako anampa mwingine ambae haujamchagua.
  10. Hector Cooper

    JamiiForums Tanzania Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

    Endeleeni kukaza shingo muda sio mrefu mtaanza kupiga mayowe.
  11. Hector Cooper

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mafanikio ya AU!

    Hawana lolote wale ni kupoteza muda
  12. Hector Cooper

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

    Yaani Chadema irudi nyuma kwa ajili ya hao wakina Mrema kweli? halafu unataka aunganishe chama muda gani wakati serikali ya CCM imemuweka korokoroni. Halafu huyo Mrema si ameshafukuzwa chama na tawi lake leo anaongea kwa nembo ya chama kipi?
Back
Top Bottom