Recent content by HeavyWeight Mdedili

  1. HeavyWeight Mdedili

    JamiiForums Tanzania Jibu la demu wangu baada ya kumwambia nalala kwenye mkeka limenisikitisha

    Muite aje auone huko mkeka!
  2. HeavyWeight Mdedili

    JamiiForums Tanzania Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

    Ntajarib ntakupatia mrejesho
  3. HeavyWeight Mdedili

    JamiiForums Tanzania Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

    Nifafanulie maana
  4. HeavyWeight Mdedili

    JamiiForums Tanzania Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

    Nifafanulie maana
  5. HeavyWeight Mdedili

    JamiiForums Tanzania Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

    NIko single lakn hyo inaweza kua sababu ya hilo tatzo? Lakin kuhus hilo hua napata Dayworker napiga
  6. HeavyWeight Mdedili

    JamiiForums Tanzania Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

    Acha masikhara ndug
  7. HeavyWeight Mdedili

    JamiiForums Tanzania Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

    Nashukur sana ingawa kuna watu wengine wanahis kama ni utani lakin mambo haya yapo! Muda mwingine naogopa hat kurud nyumban au najikeep busy na movie mpk kunakucha
  8. HeavyWeight Mdedili

    JamiiForums Tanzania Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

    Nita Jitahd kufuata baadh ya shauri zenu maana kiukwel nateseka mpk naogopa
  9. HeavyWeight Mdedili

    JamiiForums Tanzania Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

    Mara nying naota nipo watu wa ajab au nakabwa na vtu vya ajabu sometimes nashtuka usingizin najikut nmelowana jasho mpk mashuka na blanket maan naish sehem yenye barid
  10. HeavyWeight Mdedili

    JamiiForums Tanzania Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

    Inawezekana ni kwel ndug yang lakin kun kipind napitia magum kupitia ndoto hiz na mara nying ni ndoto zinazohusiana na mambo ya giza tuu
  11. HeavyWeight Mdedili

    JamiiForums Tanzania Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

    Habarini Ndugu zangu! Samahani sana kijana mwenzenu nahitaj msaada au ushauri kwa maana mara nyingi huwa naota ndoto nyingi za ajabu na za kutisha lakini nikishtuka au hata kukicha nasahau matukio yote yanayohusiana na ndoto hiyo nabaki kujua tu kuwa nimeota ndoto mbaya lakini matukio kuwa ndoto...
  12. HeavyWeight Mdedili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana kuishi nyumba moja kama mmetalikiana/uhusiano kuvunjika?

    😎😎😎 fanya sir sas sio kila mtu ajue
  13. HeavyWeight Mdedili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana kuishi nyumba moja kama mmetalikiana/uhusiano kuvunjika?

    Kwa asilimia kubwa nyumba amejenga mwanaum lakn kwa sahv ameteteleka kiuchumi
Back
Top Bottom