Pole sana ila ungewafata wangekushughulikiaa mbona hawana tatizo au wafate DM kwenye Instagram yao Wana rispond fasta. Unaeza pata hata kabonus cha niongezaa[emoji23][emoji23]
Mi naona PrincessBet wako vyema na kama uliweka pesa haikuingia wenda hukusajili namba yako kwenye akaunti yako. Hivo wasiliana nao kwa namba yao 0768987888.
Pesa yako haipotei mkuu..
Wakuu naombeni ushsuri kwa wazoefu hivi kati ya mashine za juice ya miwa zile za nje ya nchi na zinazotengenezwa bongo zipi ni nzuri zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.