Recent content by Head prefect

  1. Head prefect

    Kero ya kusota vituo vya mwendokasi muda mrefu

    Wakuu Salaam. Sijui kama watu wengine wanakerwa na huu utaratibu. Kumekuwa na utaratibu abiria wanakaa sana vituo vya mwendokasi haswa Gerezani, Msimbazi B na Msimbazi A huku mabasi yamepaki Gerezani kule madereva wanapiga hadithi. Ni nini maana ya kuita Rapid Transfer ikiwa abiria anakaa...
  2. Head prefect

    Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    Wakuu salamu sana. Mimi ni mwanamke wa umri wa miaka 30 Kwanza nina shida ya diabetes kwa zaidi ya miaka 13 sasa. Lakini miaka miwili iliyopita nilianza kupata tatizo la kutokwa jasho sana muda wowote hali ya hewa ikiwa joto. Nikisema jasho wakuu namaanisha, nalowa nguo chepechepe kama...
  3. Head prefect

    Wakuu natafuta dawa ya kung'arisha meno

    Nitajaribu kumuona huyu anipe msaada. Maana hata mimi nasmile kwa kuvizia
  4. Head prefect

    Wakuu natafuta dawa ya kung'arisha meno

    Mkuu hii niliwahi kuifanya pale Ekenywa, niliitumia Cash na kama unavyojua pale ni hospitali binafsi, kusafisha jino moja ni elfu 30, nilisafisha sita ya juu ambayo ndio yanaonekana nikicheka.... Efficiency yake sio kihivyo mkuu, huwa yanatakata kama tatizo ni plaque, ila kama yameathirika ya...
  5. Head prefect

    I am looking for clinical psychologist for counseling and guidance

    Asante mkuu, hii panick attack yangu hutokea bila sababu, hata kama niko na hali ya furaha kawaida bila hata wasiwasi kwa kutokea chochote, hunikumba popote, hata kama niko Nacheka na nafurahi inanijia ghafla tu. Sometime Mpaka najiuliza kwani kumetokea nini mpaka inanipata. Inanipa tabu sana
  6. Head prefect

    I am looking for clinical psychologist for counseling and guidance

    Asante mkuu, aina zote za soda situmii, wala kahawa, wala vyakula vya viwandani, acha nijitahidi kulala vya kutosha maana hii hali ya mapigo ya moyo yakizidi hata usingizi unakuwa shida, nashukuru kuskia kuwa kuna watu wamepata na imeisha... Unanipa moyo kuwa na yangu itaisha. Asante sana mkuu
  7. Head prefect

    I am looking for clinical psychologist for counseling and guidance

    Asante sana kwa ushauri mkuu , nimeuchukua na naufanyia kazi kiongozi. Ubarikiwe sana sana.
  8. Head prefect

    I am looking for clinical psychologist for counseling and guidance

    Asante sana kwa ushauri, Nimejaribu kuachana na mawazo, najichanganya na marafiki ili kupoteza mawazo, lakini unakuta Nacheka na kufurahi mara ghafla naanza kuishiwa nguvu na kukosa pumzi nashikwa na panic, itanitesa zaidi ya dakika 10 kisha kutulia, mara nyingi inakuja kwa nguvu mpaka...
  9. Head prefect

    I am looking for clinical psychologist for counseling and guidance

    Wakuu, Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,nimekuwa nasumbuliwa na kushtuka kwa mapigo ya moyo kwa muda kama miezi saba na zaidi, moyo unakuwa kama unaruka mapigo, au kudunda kwa nguvu kama unakita kwa nguvu fulani mara moja au mbili kisha unaendelea na mapigo yake ya kawaida. Hali hii hudumu...
  10. Head prefect

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Masuala yanayogusa Imani ni sensitive sana, hayapaswi kuongelewa kwa mihemko. Hata hivyo Udom wangeweka by laws, maswala ya imani iwe ukristo au uislamu iwe ni issue personal, chuo kiwe kwa ajili ya kusoma tu, maswala ya dini kila mtu afanyie nje ya chuo katika makanisa na misikiti ya uraiani...
Back
Top Bottom