Recent content by He the great

  1. H

    JamiiForums Fursa ya ajira kwa Mechanical engineer

    Habbari ndugu zangu Nilikua nataka tu kujua kuhusu hili.. kwanza mm ni mwanafunzi mwaka wa pili Diploma nasoma Mechanical engineering, nilikua naomba kujua ni-specialize wapi(kitengo gani) kulingana na fursa na project zilizopo hapa nchini Tanzania. Nitangulize shukrani
  2. H

    JamiiForums Anayetafuta kijana wa kuchomelea (welding)

    Anayetafuta kijana wa welding (kuchomelea) tuwasiliane hasa kwa aliye Dar au Pwani. Kwa mawasiliano zaidi unaweza nitumia message inbox (pm)
  3. H

    JamiiForums Tarehe ya kufungua chuo UDOM kwa mwaka huu 2021/22 ni ipi?

    Hii tareh ni Kwa wanafunzi wote mkuu?
  4. H

    JamiiForums Tarehe ya kufungua chuo UDOM kwa mwaka huu 2021/22 ni ipi?

    Wadau kwa anayejua tarehe ya kufungua semister ya kwanza chuo cha UDOM kwa mwaka wa 2021/22
  5. H

    JamiiForums Kijana natafuta kazi: Nimemaliza form six

    [emoji120][emoji120][emoji120]
  6. H

    JamiiForums Kijana natafuta kazi: Nimemaliza form six

    Habar ndugu zangu.. mimi nikijana nipo dar es salaam natafuta kaz au connection yoyote yakuweza kupata Kaz hata kama ni kwenye viwanda,kusimamia biashara nakadhalika.. popote pale kweny fursa ys kazu Elimu yangu nimemaliza form six.. Karibuni
Back
Top Bottom