Recent content by HDMI

  1. HDMI

    Hii ndio sababu inayofanya Tanzania kutokuwa na maprogrammer wengi?

    Unataka mtu aandike program from scratch una pesa za kumlipa? Wateja wenyewe mnakuja mnalialia mnataka website kwa laki 5. Nakuchapa li-template tu fasta.
  2. HDMI

    Hizi ndo perfume original ukiachana na zile za Kariakoo

    Na bado kuna feki unapigwa kwa bei ya original. 🤣🤣
  3. HDMI

    Bonyeza hapa kwa majadiliano ya kina kuhusu madai ya kazi ya upwork

    Umeanzaje kufanya mawasiliano na client nje ya mfumo. Acha usanii aisee
  4. HDMI

    Kuna mchezo unachezwa Tanesco wa kuyeyusha units ziishe haraka?

    Wapi jamaa kasema kuwa anatumia smart meter? Unaijua smart meter wewe?
  5. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Kwa hiyo wewe ndio umeona pros and cons za ku allow developer mode kuliko wataalamu wooooote wa NMB. Aisee [emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba Bank waliweka hiyo feature bila kujua kwamba haina faida
  6. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Kwa hiyo ungefanya kazi au ungesema "tufanye kama CRDB" [emoji23][emoji23]
  7. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Hapo kwenye password 123456 mbona hujibu? Anayezuia developer mode na unaye allow password 123456 nani achekiwe?
  8. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Jaza hela kwenye account. Itakuwa nyepesi tu [emoji23][emoji23] Tatizo unaangalia sana balance
  9. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Kwa hiyo wewe ungekuwa developer wa NMB ukaambiwa policy ya Bank yetu ni kuto allow developer mode ungeacha kazi?
  10. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Halafu jamaa hakutakiwa ku attack developers wa NMB. Developers wanatengeneza solutions kutokana na policy za kampuni sio kujiamulia. Hata yeye angekuwepo kwenye hiyo team angefanya kama policy inavosema. Asingeleta ujuaji kwamba mbona CRDB inafanya kazi with developer mode [emoji23][emoji23]
  11. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Kwako hizo app za ku clone ndio zinampa nguvu akosoe developers wa NMB kisa tu wao wanaona developer mode isitumike kwenye app yao? Mbona yeye app yake hiyo nime signup na password 123456 na imeingia. Huyo ndio wa kuzungumzia NMB kweli? Awe serious
  12. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Leongo ilikuwa kumrekebisha na kujua kama ashawahi tengeneza financial app za kampuni kama Bank tujue. Hivyo vi app vyake hata user akiruhusu rooting hakuna issue
  13. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Hizo apps zake zinaingiza Tsh ngapi? Au zimebeba risk kiasi gani kwa watumiaji? Unafananisha draft na financial app mzee? Na wewe wale wale tu. Akasome guidelines za OWASP ndio aanze ubishi
  14. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Hebu tupe na wewe app yako playstore tukusahihishe. Maana kuongea bila kujua kwa nini wao (hata kama wengine hawafanyi) wamezuia. Tuma link tuone app zako kaka. Asante
Back
Top Bottom