Nakushauri kitu kimoja. Usiguse uso wako. Usilipuke chunusi. Halafu vumilie mpaka ukue mtu mzima. Ukiwa kuwa mtu mzima, chunusi zitatoweka. Chunusi ni dalili ya ujana.
Si kitu ni jina gani litakaloitwa Old Bagamoyo Rd. Lakini ninachokijiuliza ni kwamba kwa nini jina la Mwai Kibaki linatajwa. Je Mwai kibaki amechagia kutengeneza barabara hiyo?
Tunahitaji kumuuliza Mungu kuhusu ya moyo ambayo Mungu anajisikia kupitia tukio hilo. Pasipo kujua moyo wa Mungu hatuwezi kutatua tatizo hilo. Ndugu zangu wakristo, tuende mbele ya Mungu ili tujue moyo wake. Tuangalie hali ya sasa na waislamu wenzetu kwa moyo wa Mungu. Kama hivyo hatutatumbukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.