Recent content by Hazali

  1. Hazali

    JamiiForums Utapeli wa mitandao umenikuta tena

    Ila cha msingi tuwe makini.
  2. Hazali

    JamiiForums Utapeli wa mitandao umenikuta tena

    Watu wa nje km magharibi wao wanatumia za makampuni. Mpk ugundue ni pale unaposhikwa mkono. Nitatuma msg za matapeli wambele wana mitandao mikubwa mno kuliko hapa kwetu Tanzania.
  3. Hazali

    JamiiForums Utapeli wa mitandao umenikuta tena

    Alaf wajinga wakufikiri wanatumia account ya kawaida .com si upumbabu huu.
  4. Hazali

    JamiiForums Utapeli wa mitandao umenikuta tena

    Jamani nimetumiwa msg hii -> ((( YOUR CELL NO.HAS WON YOU £850,000 IN D ONGOING 2017 COCA COLA MOBILE DRAW IN UK,TO CLAIM; SEND YOUR NAME,AGE & NUMBER TO: cocaukpa@outlook.com. ))) Namba wanayoitumia ni hii no. +255620676309 NI MATAPELI.
  5. Hazali

    JamiiForums Ni kipi ambacho haupendi katika maisha yako??

    Mimi sipendi kuona mtu anaonewa kwa njia yoyote, Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Hazali

    JamiiForums Ni kipi ambacho haupendi katika maisha yako??

    Kumbuka Usicho kipenda na mwenzako pia hapendi kutendewa.
Back
Top Bottom