Sishabikiii mauji, kuuana au kudhurumu haki ya kuishi.
Ila kwa taifa kubwa kama urusi linalowindwa 24/7 nusu ya wapinazi wanakua halisi nusu yao wanakua mamluki Ili kuyumbisha au kupindua selikali.
Maadui wa nje wanapenda kutumia watu wa ndani kuligawa taifa husika....,
Ndo maana juzi putini kasema hakuna wa kiwashinda west na Europe kwenye vita ya propaganda.
Hiyo operation niyakawaida sana hamna haja ya kuipamba ivo.
Hawa jama walituteka kwenye movies za hollywood tilijua hawagusiki kumbe.......
Kupokea wakambizi maana yake ni gharama kwako uliewapokea lazima bajeti iwepo.
2.Kutokana na mpango kazi wa wazayuni nikutaka kuwahamisha mazima hao waparestina.
Sasa atakaewapokea maana yake awepe uraia au makazi ya kudumu we kuweza??
Kuna mtu alisema putini hajui kinachoendelea duniani.Kila kitu anaambiwa na wasaidizi wake hata simu hana.
Ila ukimsikiliza putin mwenyewe unamuona ni mtu ambae yuko mbele ya mda na yuko more apdated than you can imagine.
Acha bana kwa iyo alligator inayochakaza front line inachakaza ikiwa urusi.?
Afu kuna dog fight kaza zimetokea Kati ya Urusi na ukraine zimetokea kwenye ardhi ya Urusi.??
Ndege za Urusi zinaingia popote kwenye anga la ukraine ila inategemea na mpango kazi wa siku husika.Vita ni mipango na...
Mpaka saiv haipaswi kuweka hitimisho.Pamoja na hotuba ya putin na wachambuzi mbalimbali bado hakutoi hitimisho what is going on.Nadhani ngoja tuupe mda nafasi.
Kuna mambo mengi yanayofikirisha sana. Na kuna maswali magumu yasio na majibu kuhusiana na rusia V.S wagner.
Afu scenario ya sudani...
Toka sintofahamu ya wagner vs russia ianze nimebaini mambo yafuatayo.
1.Putini anakubalika sana na wananchi wake ,hii nikutokana na anavyowasikiliza lakini pia anavyopambana kuiletea urusi maemdeleo.
Urusi ya mwaka 1990 sio urusi ya leo.
2.wasio mpenda putin ni mafisadi ambao wanapesa Mingi na...
Hapa ndo unaona faida ya mfumo wa kijama.
Wajama hata wakiwa na internal conflict ila linapokuja suala la kitaifa la kuwafanya wawe wamoja wanafanya ivo.
Hata vikwazo vimedunda kwa urusi sababu makampuni mengi yapo chini ya serikali.
Kwa lugha nyepesi inaonyesha USA. ni most corrupt country.
Sifa ambazo west waliipa russia kua rushwa imetapaka jeshini.Sijui makamanda wanapewa hela za kununua dare za jeshi wanazipiga wanaleta dare za jeshi kidogo.
Mara ooh siraha za Urusi ni duni kwa sababu ya rushwa.
Ila hii SMO...
repainted so that they are suitable and look good.
[emoji3][emoji3] Hiyo sentensi maana yake wamechuku helicopta za zamani ambazo ni kuku hata rangi ilikua imefutika.
Sasa wakasema wamezipaka rangi na zimependeza zitafaa kwa mapambano na urusi.[emoji3].
Sasa najiuliza rangi na kupendeza kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.