Huo upande wenye jiko bila shaka ndo upande ambao wakati wote utakuwa na kelele za watu mbalimbali mfano mkeo na mashosti zake, watoto wako, dada wa kazi watu wanaoingia na kutoka mfano majirani, wauza vitu wa mtaani automatically hii inapelekea wewe ukiwa kwenye room yako ghorofani kupigiwa...
Habari wana JF
Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu?
Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.