Recent content by HAWKING

  1. HAWKING

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    MSIJESEMA SIJAWAAMBIA.. CHUKUENI HII 100% WIN
  2. HAWKING

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BOOOOOOOOOOM
  3. HAWKING

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Belarus FC Gomelzheldortrans - FC Cist Handicap 0:2 Select 1 ODD 2.6 WEKA HATA CHETI CHA NDOA
  4. HAWKING

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    me natumia Premierbet
  5. HAWKING

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    saa moja jioni
  6. HAWKING

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Spain Amateur CD Loja - River Melilla CF OVER 3.5 goals 2.15 ODDS WEKA HATA HATI YA NYUMBA
  7. HAWKING

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata mwenza ukiwa na uwezo wa kufanya 'goli' moja?

    hahaaaa.............pesa
  8. HAWKING

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kumtambua mwanamke mpumbavu na mwanamke mwerevu

    NDOA... yani hii kitu kuna wakati inatibuka hadi unatamani kutangaza kustaafu, na wakati mwingine inakuwa imenyooka hadi unatamani ufungue matawi... Yani nathubutu kusema kama bado hujaoa, wewe bado ni dhaifu sana na bado hujayajua maisha.
  9. HAWKING

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukaachana na mpenzi uliempenda sana?

    Hizo ndo sifa alizonazo mke wangu, na ndoa inaelekea ku expire soon.. maana dah chamoto nakiona kwakweli
  10. HAWKING

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukaachana na mpenzi uliempenda sana?

    DAAH... Yani mkuu sijui hapa unanisema mimi! Maana yangu yanapumulia mitambo na kila nikijiuliza sababu siipati kwa kina.. Ingawa tuna watoto 2 ila nahisi yasha expire kama ulivosema
  11. HAWKING

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanaume huwa mnajua maana ya ''one night stand''?

    NYAMBAF:D:D:D:D:D
  12. HAWKING

    JamiiForums Tanzania Uvaaji gani unaokuvutia mwanamke akivaa?

    Ukweli uliotukuka.. wavaa nusu uchi ni viburudisho vya macho na usiku mmoja. ila mke wa maisha lazima ajistiri
  13. HAWKING

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nashkuru sana mkuu, ni kweli line inapokea mwisho 1m, nmewapigia voda wakasema ni kweli walijaribu kunitumia ila haijaja kutokana na line yangu kufikia kikomo.. So hapa inabidi niende premierbet kucancel
  14. HAWKING

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ok. poa nashkuru kwa ushauri wako mkuu
  15. HAWKING

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sijapanic mkuu.. tatizo pesa haipo kwenye account yangu, na pia sijawekewa kwenye simu... So hata hyo kutoa kidogo kidogo ntatoa nini na wakati kwenye account haipo?
Back
Top Bottom