Recent content by hawaii

  1. hawaii

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Unazungumzia sayari gani kaka. Umesoma kweli hiyo Pharmacy au unasikiliza maneno ya watu humu. Narudia tena MD anaweza kusoma kozi yoyote kuanzia Pharmacy, Nursing etc lakini hauwezi kutoka huko kuja kusoma MD. Halafu usihamishe goal kila mtu anaweza kufanya kazi popote na ndiyo maana MD wako...
  2. hawaii

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Hiyo kitu ya kupanda hadhi kuliko MD haiwezekani hata siku moja. Hapo walipo ndiyo nafasi yao.
  3. hawaii

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Unanifurahisha sana brother. Ni hivi nilipomaliza kidato cha sita nilikuwa na uwezo wa kusoma kozi yoyote pale Muhimbili ikiwamo hiyo Pharmacy. Nafurahi kwamba nilichagua MD. Kwa critetia za ufaulu zinaanzia na MD then zinafuata hjzo nyingine. Kama ukiwa na qualifications za kuchaguliwa MD...
  4. hawaii

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Shule ipi unayozungumzia kuwa ninaisoma. Soma uzi vizuri halafu uandike tena, course unachagua kulingana na pass mark yako na malengo uliyonayo. Kama ulikuwa na lengo la kuwa pharmacist na passmarks za Md hiyo ni juu yako na isikufanye uichukie Md. Kama marks hazikutosha basi ridhika na...
  5. hawaii

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Hawa jamaa wana chuki sana na MD. Hawataki kukubali ukweli kuwa MD ni juu yao wote aidha mmoja mmoja na pia kwa ujumla wao. 5 yrs pale MUHAS unaandaliwa kuwa kiongozi wa hao wanaopiga kelele humu.
  6. hawaii

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Wakati huo mfumo unajengwa nyie kada nyingine mlikuwa wapi? Acha chuki kijana alama zako za ufaulu na malengo yako yamekufikisha hapo kwenye hiyo kada uliyopo, usijenge chuki kwa wengine hautofanikiwa. MD halingani na Nurse au Pharmacist kwa namna yoyote huo ni ukweli na utabaki kuwa hivyo siku...
  7. hawaii

    Rais Magufuli, ni wakati muafaka "Ikulu" irudishwe kwa wenyewe, Waislam

    Life limekuwa tight kinoma ndiyo maana tunaona aina hizi za watu na mithread yao ya ajabu kwa wingi. Ila huyu bibi kachemka sana.
  8. hawaii

    Keith Sweat Vs R Kelly

    Ni kweli haumjui Keith Sweat au unatania?
  9. hawaii

    Ben Paul akila bata ughaibuni

    Send off yake lini?
  10. hawaii

    Hivi kati ya Korede Bello na Kizz Daniel nani mkali wa kuimba?

    Kiss Daniel ni habari nyingine .. Belo anajua ila kiss Daniel anajua zaidi
  11. hawaii

    Nani alianzisha dhehebu la Mashahidi wa Yehova?

    Kwa hiyo alinyweshwa sumu au alipigwa risasi. Hizi imani bwana..unaweza kuwa chizi.
  12. hawaii

    Chalinze: Mabosi watatu wa Tanzania Investment Centre, wafariki ajalini

    RIP ndugu zetu Mwenyenzi Mungu awatangulie katika safari mpya mliyoianza. Ila hawa madereva wa STK na DFP nafikiri wanahitaji mafunzo elekezi. Huwa wanajiona ni Bora na wanaharaka kuliko dereva yeyote yule. Uendeshaji wao wa magari huwa ni wa kasi sana na hawajali magari mengine. Poleni sana...
  13. hawaii

    Mwakyembe: Kati ya wasanii 10 duniani wenye sauti nzuri Diamond huwezi mtoa

    Hawa watu wakati mwingine wanatutafuta maneno tu. Tuongee tuonekane wabaya tu..
  14. hawaii

    Diwani anayetuhumiwa kupewa rushwa awataka wabunge wa CHADEMA Arusha wanyamaze

    Huyu jamaa thamani yake ni kama iphone 7 moja tu... Khaa!
Back
Top Bottom