Recent content by Hawa Ibad Athuman

  1. Hawa Ibad Athuman

    Mshana Witch project

    Hahaha haha hahaha haha sa itakuaje
  2. Hawa Ibad Athuman

    Fursa jijini Mombasa

    Nisaidie process za kuchukua vijora huko Mombasa na kuvileta Tz. Nope story kidogo kuhusu biashara ya vijora Mombasa
  3. Hawa Ibad Athuman

    Ushauri na mawazo kuhusu biashara ya vijora na vitenge

    Samahani Mimi naomba unisaidie process za kufika huko Mombasa . Natamani niende mwenyewe naomba unielezee kidogo nijiandaaje.
  4. Hawa Ibad Athuman

    Kununua vijora Mombasa

    Habari. Naomba msaada wa kuelekezwa process za kufuata mzigo wa vijora Mombasa. Naomba kujua gharama zote za usafiri, chakula na malazi. Pia, kianzio mtaji uwe kama shilingi ngapi za kitanzania?
Back
Top Bottom