Recent content by HateFisadis

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini JWTZ walihusika??

    Tafadhali! wenye nchi ni Watanzania. Majeshi hayo tumeyapa majukumu ya kutulinda(Katiba). JWTZ lina mandate yake ukiona limeingilia kazi ya polisi inamaana polisi wameonekana dhaifu (kama unavyojua hawachukui hatua yoyote kwa wahalifu/wahujumu nchi).
  2. H

    JamiiForums Tanzania Usanii wa Vyombo vya habari hapa Tanzania ona hiii!!

    Daah, :shock: Mbona familia ya huyo mwalimu hawajakanusha hiyo picha? Ndiyo yalayale ya meli iliyopindika zanzibar. Kumbe picha zilikuwa za meli ya ufilipino miaka ya nyuma.:mad:
  3. H

    JamiiForums Tanzania Checking in

    :eyebrows:
Back
Top Bottom