Recent content by hasta pronto

  1. H

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamuru KKKT kuufuta waraka. Yatishia kulifuta "Baraza la Maaskofu wa KKKT" na kuwashitaki

    Nadhani ofsi ya Msajili haina kazi. Kuna barabara nyinyi ni mbovu wanaweza kusaidia kusomba changarawe na kuanza kuziba mashimo. Kuliko kuharibu wino.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kutoka NEC ya CCM: Mrithi wa Kinana ni Dr. Bashiru Ally. Apitishwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM

    sikio la kufa halisikii dawa. chukua chako mapema nadhani hakuna dawa tena.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia 30 Juni, 2017 imejaa madudu

    CAG angelichunguza na kudadisi sana angeligundua kuwa fedha nyingi za serikali nimefanya kazi ya Ununuzi wa Madiwani, Safari za Chato, Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato, Misifa na bado nyingine nyingi zinatumika kununulia Pampasi.
  4. H

    JamiiForums Tanzania CAG Assad: Bunge halifanyi kazi yake! Wanatakiwa kuuliza matumizi nje ya bajeti yaliidhinishwa kwa mamlaka ipi

    Ndugai, nadhani anahitaji maombi ya Kitaifa. Kuna wakati nahisi akili zake huwa zinahamia kwenye magoti au kiunoni. Kiufupi anahitaji msaada.
  5. H

    JamiiForums Tanzania BAD NEWS: Mwandishi Finnigan Simbeye wa The Guardian aokotwa akiwa hajitambui, amepigwa vibaya jijini Dar

    Mtaua wangapi? Tukumbuke damu ya mtu haiendi bure, hata kama mnamazindiko ya chini ya bahari.
  6. H

    JamiiForums Tanzania BAD NEWS: Mwandishi Finnigan Simbeye wa The Guardian aokotwa akiwa hajitambui, amepigwa vibaya jijini Dar

    Ni habari mbaya sana. Lakini ifike hatua watawala wakubali kukosolewa. Mbona vipindi vya nyuma vya viongozi waliopita mambo haya hayakuwepo? Watawala wa leo wasipende kusifiwa tu. Na kujiudhuru sio kosa.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa: Rais, CAG na Mawaziri watofautiana takwimu. Ukweli ni upi?

    Hatuna mtawala awaye yoyote Tanzania, mwenye kusema ukweli, badala yake ni wapenda kusifiwa na kujazwa misifa.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa: Rais, CAG na Mawaziri watofautiana takwimu. Ukweli ni upi?

    Siyo tu aibu kubwa bali pia, limefunikwa na giza nene na watawala wetu wamejiongezea mablanketi ya sufi.
  9. H

    JamiiForums Tanzania ‪KISUTU, DAR: Mahakama yawapa dhamana Viongozi 6 wa CHADEMA bila kuwepo mahakamani. Kutoka gerezani Aprili 3, 2018...

    Tena muda mwingine ni afadhari ya mkoloni maana alikuwa ni binadamu hai. Sasa tuna jiwe.
  10. H

    JamiiForums Tanzania ‪KISUTU, DAR: Mahakama yawapa dhamana Viongozi 6 wa CHADEMA bila kuwepo mahakamani. Kutoka gerezani Aprili 3, 2018...

    Kwa hali ilivyo sasa ni afadhari wakoloni wa dhama zile kuliko utawala wa sasa wa Tanzania.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea ripoti ya CAG, 49% tu ya fedha za maendeleo zimefika ktk Halmashauri. Wakurugenzi 2 watumbuliwa

    Bahati mbaya sana hatuna kiongozi...laiti kama tungelikuwa na kiongozi basi tungelihoji.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Kuandama kuko kwa njia nyingi.siyo lazima uingie barabarani ama uonekane bayana.
Back
Top Bottom