Recent content by hassan_kimati

  1. hassan_kimati

    Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    Najua nyinyi ni wakubwa zangu nilipo mm mushapapita so sio vibaya kuwaomba ushauri
  2. hassan_kimati

    Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    Kama chuo gani Mana mm kwetu ndio mtoto wa kwqnza alafu wazazi wangu hawakusoma mpaka level za juu ila kwa uwezo wa kipesa tunao mungu anasaidia sasa hebu nishauri jinsi ya kuapply kwenye hcho chuo unachosema please.... Unaweza nisaidia kwa njia ya whatsapp No. 0672191555 Sent from my TECNO H6...
  3. hassan_kimati

    Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D Division 3 ya 23 Alafu sikupangiwa popote hebu nishauri nifanye nn malengo yangu ni kuwa daktari
  4. hassan_kimati

    Hapa vipi?

    D
  5. hassan_kimati

    Naomba mwenye mawasiliano ya Kirinjiko Islamic High School anipatie

    Habarini wakuu, Naomba mwenye mawasiliano ya Kirinjiko Islamic High School anipatie. Natanguliza Shukrani
Back
Top Bottom