MBONA SISI WENGINE TUMEHUDUMIWA VIZURI BILA TATIZO. TUMEFIKA KWA ILE OFISI TUKAFUATA UTARATIBU NA TUKAPEWA VITAMBULISHO VYETU. SASA NINA MASHAKA NA WATU WENGINE INAWEZEKANA SIO RAIA NA WANATAKA KUJIPENYEZA SASA WAKIBANWA NDIO WANAKUJA KULALAMIKA. PIA UNAPOFANYA MCHAKATO NI JUKUMU LAKO KUFUATILIA...
WATANZANIA KUANZA KUNUFAIKA NA MATUMIZI YA UTAMBULISHO WA TAIFA (NIN)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi; Mh. Mwigulu Nchemba (Mb) leo ametembelea Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), ambapo alikutana na Menejimenti ya NIDA na kupokea taarifa ya maendeleo ya shughuli ya Usajili na Utambuzi...
Niliwatafuta Baadhi ya hao wahusika kwa kigezo cha kutokutaka kutaja jina alikubali kunisimulia yaliyojiri. Kwamba hakuna nguvu yeyote iliyotumika kuwaondoa watumishi hao ambao ni wachache. Alisema kilichotokea ni kwamba watumishi hao wachache waliositishiwa mkataba wao walifika na kukutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.