Recent content by Hassan J. Mosoka

 1. Hassan J. Mosoka

  "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

  MKuu naona umeamua kufukuwa makaburi lol! ni vizuri kuishi vizuri maana maisha haya si yetu
 2. Hassan J. Mosoka

  Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

  Mshahara za dhambi mauti bali karama la Mungu ni uzima wa milele!! Pasco nimewahi kuandika kwenye moja ya mabandiko yako kuwa utawala wa awamu ya tano umejenga chuki ya kiasi kisichomithirika miongoni mwa watanzania! watu wa Mungu tunatakiwa kuwatatkia watu mema hata wanaotuudhi lakini inahitaji...
 3. Hassan J. Mosoka

  "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

  Kwa hali ya covid 19 ilivyo katika taifa letu ni vigumu kutabiri nani atakuwa rais wa nchi mwishoni mwa mwaka huu wakuu wanamchezea mgeni sebuleni na hajali idadi ya walinzi wanaomzunguka mzee you never know Pasco imagine wale wazee wa kucheza na kura wakati wako busy kuiba mara paap anaanguka...
 4. Hassan J. Mosoka

  Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza!

  Pasco tangu mwezi wa pili tumepiga kelele sana kuhusu kuchukua tahadhari kwa sababu tunajua nchi maskini hazina uwezo wa kupambana na hili dude kwa hiyo muhimu ilikuwa kuchukua tahadhari lakini wapi sikio la kufa uliwasikia wakuu wenye mamlaka waliojawa kiburi walivyopuuza yote hayo na kuendelea...
 5. Hassan J. Mosoka

  "Maharage ya Mbeya maji mara moja" ni kauli ya kweli? Ni kwenye maharage tu au hadi kwa wanambeya? Kama kauli huumba, Jibu sahihi ni Oktoba 2020!

  Pasco my brother ulikumbwa na nini ulipoitwa kwa Ndugai siku ile manake uandishi wako unaanza kufanana na ule wa makanjanja kwamba unasema waliojitambua wakahamia ccm kwa hiyo kuhamia ccm ni kujitambua, mwaka huu hakuna uchaguzi kuna maigizo na kuharibu hela za walipa kodi tu there is no fair...
 6. Hassan J. Mosoka

  Kwanini Zitto alitumia nembo ya Bunge kuandika barua binafsi kwa Benki ya Dunia? Kwangu mimi huko ni kuhalalisha 'kushughulikiwa' na Bunge

  Kwa nini unafikiri ana nembo ya Bunge, wewe unayo?? kama anayo manake anaitumia katika shuguli zake wa kila siku usisahau Zitto ni mbunge ana ofisi yenyedocument za kibunge na siamini kama barua ya Zito ni kwa niaba ya Ndugai! barua yake itakuwa inatoka kwa mbunge wa Kigoma mjini sasa wewe...
 7. Hassan J. Mosoka

  Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

  Kipimo cha graff kushuka ilikuwa uchaguzi wa serial za mitaa jambo ambalo ccm kwa kutumia watendaji wa vijiji walilivuruga kisha wakapita woote na wewe unajua vizuri kipimo kingine ni rallies ambazo mhimili umewapiga marufuku sasa Pasco wewe unatumia nini to justify your claim?
 8. Hassan J. Mosoka

  Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity

  Ndio maana nimeamua kusikiliza habari za Kenya tu nikitaka za tz naingia jamii forum waandishi wa Bongo hovyo kabisa
 9. Hassan J. Mosoka

  Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

  Kwa hiyo halmashauri kuu ya ccm imefanyikia kwenye Tembe/nyumba ya matope wanakoishi wanaccm wengi zaidi tz hewa kabisa wewe
 10. Hassan J. Mosoka

  Majibizano ya Mh.Rais na Mkurugenzi wa TBA leo Chamwino yanaonesha jinsi Rais asivyofuata ushauri wa Wataalamu wake, Rais asivunje sheria

  Kaambiwa ni kwa mujibu wa sharia jengo la umma kuwa na lift halafu logical unajenga hospital bila lift kweli? Maadam speaker kashangilia historia itawahukumu
 11. Hassan J. Mosoka

  Godbless Lema: Kuna mwingine atahama CHADEMA baada ya Meya wa Jiji la Arusha kuhamia CCM

  Kwamba tunarudi kwenye mfumo wa chama kimoja? Naona unaangalia sana 2020 je umejaribu kufikiri 2025
 12. Hassan J. Mosoka

  Mo Dewji azidisha utata wa kutekwa kwake baada ya mahojiano BBC

  Kukaa kimya ni busara zaidi katika mambo ambayo usingependa kuyafunua wazi ukisikiliza mahojiani ya mo bbc uanaweza kuapata kichefuchwfu heri Roma aliamua kula pozi na kuwataja kwa style
 13. Hassan J. Mosoka

  Sendwave na vodatz

  Kuna mwenye taarifa nini kimetokea kati ya send wave na voda tz manake karibu siku nne sasa tunashindwa kutumia mtandao huu pendwa kwa wale wabeba mabox tunaotuma mboga kwa wazee wetu huko bongo
 14. Hassan J. Mosoka

  Beyond Incompetence: Reform the AG Office

  Ofisi ya AG wako busy na Ubunge wa Lisu hukusikia jana kulikuwa na mawakili wa serikali 15 mahakamani???? vyombo vyetu wa usalama wa nchi visipoacha siasa nakulinda mslahi ya taifa letu basi tutapigwa kila mahali
 15. Hassan J. Mosoka

  Kwanini uchaguzi wa Jimbo la Singida Mashariki ufanyike haraka haraka kinyume cha Katiba ya nchi?

  Mkon Mkono amekosekana bungeni kwa muda gani? Don't be fooled with kijani ndugu
Top Bottom