Recent content by Harvey frank

  1. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba Inauzwa, Mbezi Luis

    Nakupa 28ml km bado ipo
  2. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

    Asante kiongozi kwa ushauri makini!
  3. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

    Ubarikiwe mkuu na wote mlionipata na mnaoendelea kutoka michango yenu...kwa moyo wa kipekee ahsanteni sana
  4. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

    Shukrani mkuu kwa mchango wako
  5. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

    Hapana ila ukiifafanua kidogo itapendeza mkuu
  6. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

    Toa mchango wako sasa mkuu
  7. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

    Haikuwa makusudi mkuu bado ning'ari mgeni jinsi ya kuwasilisha hoja jukwaani
  8. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

    Mjomba ipo njema iyo kitu?
  9. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

    Mkuu ahsante sana kwa kuning'ata sikio
  10. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

    Kwann electrical installation mkuu?
  11. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

    Mjomba umeme upi? Wa magari au?
  12. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

    Mkuu ebu nifafanulie kidogo kwa nini umeme wa magari na sio kozi nyingine tajwa hapo awali? Samahani lkn mchango wako umethaminiwa
  13. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

    Habari zenu wakuu nakuja mbele zenu katika kupata mawazo yenu ni kozi gani/ipi itanifaa kusomea veta pale keko chang'ombe kwa mwaka wa masomo 2019.kati ya kozi hizi zifuatazo. 1:umeme wa magari 2:electrical installation 3:ukerezaji vyuma/ufundi mitambo 4:of set machine printing(uchapaji...
  14. Harvey frank

    JamiiForums Tanzania Wasambazaji ice cream wanahitajika

    Mkuu upo wapi tufanye biashara?
Back
Top Bottom