Kuna watu wengine hawaoni mbele wana fikra mgando hivi kama vyama vyote vitasubiri matokeo mbali huo wanaoutaka na kipindi hicho watu watakua wamechanganyika wa vyama vyote kwenye makundi hayo hivi wanadhani kitakachofatia ni nini? Watu wataanza kurushiana maneno kisha vurugu lazima vurugu...
Mfumo ni nini? Kuna watu wanapelekwa kama bendera kufata upepo mfumo ni usimamizi tu na si vingine mbona viongozi wa vyama vyote kilakukicha wana muimba baba wa taifa kwa uongozi wake? Na ndie alikua muasisi wa taifa na mwenyekiti wa ccm na rais wa tanzania wakati huo hebu tuambieni alikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.