Recent content by Haruna1

  1. H

    JamiiForums Tanzania Commerce teaching aptitude test sample for Utumishi Interview

    Majibu yapo wapi hapo ndugu, ingekuwa vizuri ungeweka na majibu🤝
  2. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nipo Tanga

    Nina miaka 29 kwa sasa
  3. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nipo Tanga

    Sawa kaka
  4. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nipo Tanga

    Asante, Elimu yangu ni Bachelor of Commerce in Accounting, pia nilifanya kazi ya kusimamia shamba la kuku na Ngombe , baada ya hapo nikafanya kazi ya usimamizi wa ghala la nataka yaani mazao Kama Mahindi.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nipo Tanga

    Habari wakuu nimekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote ile. Kwa sasa nipo Mkoani Tanga lakini nipo tayari kufanya kazi kwenye mkoa wowote ule na kazi yoyote ile. Atayeguswa naomba anipe msaada kwenye Jambo hili. Asanteni
  6. H

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Maswali na majibu usaili wa Afisa Watendaji wa Vijiji 2022

    Je, wenye degree wanaruhusiwa kwenye kuomba utendsji wa kijiji
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume tunawakunja sana wanawake wakati wa mnyanduano?

    Huyu anakunjika vizur tu
Back
Top Bottom