Recent content by HARUNA MPULAKI

  1. H

    Ukweli Kuhusu UDOM huu hapa

    Nyerere hawezi kupumzika kwa amani kama nyie hamtaacha kufauta itikadi aliyowafundisha, yaani RC Kwanza. Tumieni akili kidogo, kipindi cahke nchi ilikuwa ipo nusu UJIMA nusu UJAMAA. Sasa hivi sivyo. Unakumbuka jinsi alivyomshambulia Maleccela akimwita "wee John!" eti kapata tetesi amesilimu...
  2. H

    Ukweli Kuhusu UDOM huu hapa

    Wanaosema Prof Kikula na Uongozi wake ni wadini ni wapotoshaji na hawamjui Prof Kikula. Kikula ni mtu safi na asiye na matabaka hata kidogo, naweza nikamuita ni mpiganaji wa taaluma ya elimu ya juu. Kihistoria ni mtu anayefanya mabadliko makubwa katika kipindi kifupi. Namfananisha na Excavator...
  3. H

    Rwanda yapiga marufuku adhana na miziki makanisani

    Naona ndugu yangu uko "biaz" na adhana pekee, hauangalii mahubiri na mikesha ya kilokole hasa TAG. Wewe kumuunga mkono kagame ni sawa, kwa sababu ndio upeo wako wa mambo ya kijamii unapoishia. Remember once you are living within the intermingled community you have to sucrifice some of your...
Back
Top Bottom