ndiomana nimekwambia historia inasema hao ndio wenyeji halisi waingereza walipokuja waliwakuta hao jamaa kama watu wa mwanzo hapo(tribe) but inasemekana kuwa wanaasili au uhusiano na sehemu nyingine pia lakini haijathibitishwa wapi wengine wanasema Russia nk
native Americans au red Indians hawa ndio inasemekana kuwa ni wenyeji halisi wa marekani,bado kuna maoni mengi ya wanahistoria na watafiti kuhusu watu hawa,na pia maswali mbali mbali maana inasemekana kuwa hawana uhusiano wowote na wahindi wa India na pia jina hili walipewa tu Christopher...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.