Recent content by Harrison Justine

  1. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Kwanini Gazeti la Africa Confidential linamdhalilisha Rais wetu na Watanzania kwa ujumla?

    Elimu, elimu, elimu. Udhalilishaji uko wapi hapo,naona ulishindwa kumeza kizungu
  2. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Mara: Mafisadi wa trilioni 1.5 wanyongwe

    Subiri watamfuata na kuchimba uraia wake
  3. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Mh.Rais Magufuli unaanza "kutuangusha" tuliokuunga mkono na kukutetea mitandaoni, zingatia haya machache ili ututie moyo

    Kafulila tangu lini akawa na hoja, unafiki mbaya
  4. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Mh.Rais Magufuli unaanza "kutuangusha" tuliokuunga mkono na kukutetea mitandaoni, zingatia haya machache ili ututie moyo

    Kitu cha kumshauri rais ni apunguze matangazo kwenye midia. Amezidisha kila dei kwenye TV na ahadi Mpya kwa wakulima na wafanyakazi. Kwa maneno na maelezo anayoyatoa kila siku watu watamchoka haraka na pengine kama kuna dosari ndani ya serikali kama hii ripoti ya CAG wananchi haraka watamtuhumu...
  5. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    Sasa unatoa challenge au hutaki kudikia mtu akihoji hii ripoti. Mazwazwa wako wengi nchi hii. Huna la kuandika funika kopo lako. Mtu huna ponti ya kuandika bora uache wenye uchungu na nchi yao waongee. Wewe naona una uchungu na ccm, endelea. Kwenye bajeti wanaoumia ni sisi sote bila kujali ccm...
  6. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Jamvi la Habari: Mbowe amtelekeza Tundu Lissu Ubelgiji. Analala na mkewe sebuleni kwa aliyemfadhili

    Mwajiri wa kumsaidia Lissu ni bunge la jamhuri na ndiyo iliyomtelekeza. Mbowe si spika na sijui anahusika vipi hapa na matibabu ya Lissu kwa kulipia gharama. Huyu ngedere na habari yake angemlalamikia spika
  7. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kufufua ATCL ni shabaha yetu sote Watanzania. Tunapishana kwenye mbinu za utekelezaji

    Najiuliza tu, hivi nani mzalendo halisi?
  8. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Endelea kulala uote unajisaidia haja kubwa uone inatokea kweli
  9. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Wakili Jebra: Kama kupambana na wizi wa rasilimali ni kuzungusha ukuta, zungusha nchi nzima

    Hivi mali inapatikana ndani ya uzio au hata nje
  10. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mawakala wa mabwanyenye waliosababisha ndege yetu ikamatwe Canada ni akina nani hasa? Ukweli huu hapa

    Kichefuchefu hii post utafikiri nina mimba ya miezi 2
  11. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imezuiliwa nchini Canada kutua nchini wakati wowote

    Kosa la kina Maria Sarungi ni nini jamani? Hatuenelei kwa ushabiki na majigambo ni mengi mno kusifia hasara. Hiyo bajeti ya kuileta hiyo Ndege sijui kama unajua aliyeipanga na hiyo hela imetoka fungu gani. Tufurahie tu kila jambo iko siku tutakimbiana
  12. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Ewe mtanzania mjinga fungua macho uone

    Maudhui ni nini
  13. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, washawishi Waisraeli wachukue uraia wa Tanzania wote wanaotaka wapewe uraia ndani ya siku saba

    Acha dharau, ina maana katika serikali mzima umeona hakuna wanaoweza kufikiri hadi waje wayahudi? Umelogwa naona, siyo bure wewe. Hao wayahudi unaowazungumzia ni wazaliwa wa Marekani na siyo kama unavyowasemea. Tuna watu wazuri kama wao kina Prf. Muhongo ila hatuwatumii tu
  14. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wakiwa kwenye kikao cha dharura kinachoendelea muda huu katika ofisi za Umoja wa Ulaya (EU)

    Kiongozi huelewi ulichoandika, rais kutowatembelea doesn't mean tunajitosheleza. Mind you, tumekopa sana sana kwao na hivi sasa deni letu limepaa kama roketi. Hawa ndio pillars of the world
  15. Harrison Justine

    JamiiForums Tanzania Zari anasa mimba ya mzungu

    Tumechoka habari za Zari kwsni akibeba mimba wewe unatakaje? Umbea umbes wakati mwenzako anatimiza maandiko " zaeni mkangezeke" Nikusikie tens!!
Back
Top Bottom