Recent content by Harper seven

  1. H

    Kukata rufaa

    Jaman wanasheria nilikuwa naomba mnielimishe juu ya kukata rufaa kwasababu shule yetu matokeo yake yamezuiliwa bila sababu.Nakila tukijaribu kufatilia tunakumbana na vikwazo kama kukamatwa na polis bila ata sababu .Nahitaji msaada wa wanasheria ili nikate rufaa na pia matokeo yetu hayajafutwa...
  2. H

    Matokeo ya form 4

    Matokeo ya nin bora mwanze kusoma pre frm five guyz .kwanza kwen kusoma lazma au opt jaman ?
Back
Top Bottom