Recent content by hardymtanzania

  1. hardymtanzania

    Jamani hivi kuuziwa kitu kwa bei kubwa (kwa vitu visivyo na bei elekezi) hii ikoje kisheria

    leo nilikuwa kufanya manunuzi pale soko la Karume (Dar es salaam) sasa kuna sehemu nikawa nimenunua suluali ya spesho kwa elfu ishirini, na nikarizika kwakutojua bei harisi lakini kwenye pita pita zangu za hapa na pale nikakuta suluali kama ile ile niliyo inunua mwanzo na brand ya kampuni ni ile...
  2. hardymtanzania

    Nataka kughairi kufunga ndoa, zimebaki week 3. Nifanye nini kutimiza azma yangu?

    Nisikilize homie Hapo ilo swala sio rahisi hata kidogo maana unaweza timiza adhima yako kwakulazimisha lakini matokeo yake ni makubwa sana na yataathiri wengi kwa namna mbalimbali , Nakushauri kutafuta chanzo Cha huwo uzito wako na ujue utawezaje kurekebisha, Kama haujamlizia mwali tafuta namna...
  3. hardymtanzania

    Ameondoka na roho ya baharia!

    Uyo ni bibi yake na shetani Alafu azabu yake iongezwe kidogo basi [emoji23]
Back
Top Bottom