Kiukweli sina vipimo vya kitaalam hii nyumba nimeiona kwenye Instagram hata nimesahau page yao nikasema moyoni nitajenga niishi hapa na watoto zangu. So nilikuwa nataka estimate za jumla jumla.
Nyumba ya 5 bedrooms
Master kubwa 1
Self 3
Single 1
Sitting room, dining & kitchen
Study room
Laundry
Public toilet
Store
Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk.
Inaweza gharimu kiasi gani?
Mvutano wa madaraka uliopo kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu wa CHADEMA bila shaka ni mtihani mkubwa kwa chama hicho. Migogoro ya ndani katika uongozi inaweza kudhoofisha chama chochote cha kisiasa, hasa katika demokrasia changa ambapo vyama vya upinzani hukabiliana na shinikizo za nje pamoja...
Mlimpelekea pesa Lissu asigombee kupitia Abdul sasa mnawaandaa kisaikolojia watu wenu if ikitokea Lissu atamwaga ushahidi. Abdul mnamtukana mitandaoni nyuma ya pazia mnakutana nae mnajadili kupokea pesa zake. Mbowe na chadema wanaowaamini lazima wana mtindio wa ubongo.
Namchukia sana lisu sababu anamuandama sana magufuli akauki mdomo wake kila kitu magufuli anamdhalilisha hajui kusamehe Nitafurahi sana akishindwa na mbowe na iman yangu kwa upinzani itakuwa imerudi
Mungu sikia duwa zetu lissu ashindwe na apotee kabisa kwny siasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.